Gallery ya whatapp kujifuta

Gallery ya whatapp kujifuta

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,320
Reaction score
849
Photo, Audio na Video (Auto downloaded) kwenye Whatsapp baada ya masaa kama 6 hivi huzikuti kwenye Album ya Whatsapp kwenye Gallery
MSAADA Hapo.[emoji122]
 
Media zote za Whatsapp zinajifuta zenyenye baada ya masaa kadhaa
Msaada nifanyeje wajameni
 
Back
Top Bottom