galaxy note n7000 msaada

galaxy note n7000 msaada

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Mambo vp wadau naomba tips za ku unlock hii cm maana kunajamaa alibadili style ya ku unlock screen na amesahau msaada tafadhali maana tushajaribu maranyingi na anaishia kuambiwa tey again after 30 min. Natanguliza shukrani
 
hili jukwaa leo sijui tu vipi
 
Mambo vp wadau naomba tips za ku unlock hii cm maana kunajamaa alibadili style ya ku unlock screen na amesahau msaada tafadhali maana tushajaribu maranyingi na anaishia kuambiwa tey again after 30 min. Natanguliza shukrani

Vp haikuletei option ya kulogin kwa email?
 
Back
Top Bottom