Nimekusoma mkuu...maana nimeziona hizo mbili kariakoo na zimetoka korea nkajua zote ni sawa...je zinafaa kwa matumizi ya kawaida?????
Nimekusoma mkuu...maana nimeziona hizo mbili kariakoo na zimetoka korea nkajua zote ni sawa...je zinafaa kwa matumizi ya kawaida?????
mkuu kuna moja niliitest haikukamata 3g na nyingbe ikakamata...swali langu ni je hii 3g inapga mzigo kama hizo 3g za simu original???? na playstore yake ilo makini?????
msaada mkuu
yap clone zipo ambazo hazina 3g hasa hizo za note. kuhusu speed ya internet inategemea wameiekaje ila kibongo bongo 7.2mbps inatosha.
kuhusu playstore itakua ni ile ile sababu nazo pia zinatumia android
poa mkuu ngoja niidake tu mana bei nimeona iko poa tu
mkuu ungetaja bei ingekua poa ili wengine nao wafaidike
hizo hapo mbili kwa jamaa yangu ambaye anaziuza na nimetest 3g inakamata vzuri tu S4 ni 310 na note 2 ni 290.
.......
clone zinatofautiana kuna za 1ghz na ram 256 zipo za ram 512 na processor za dual core zipo hadi za quad na octa core so ni wewe tu kuijua.
hebu nenda kwenye setting then about kanisomee baseband version inaanziwa na neno MAUI
mkuu nikitaka kujua hyo baseband nzuri kwa clone Iwe imeandkwaje????
na kuhusu processor ni ipi nzuri kati ya hizo ulizozitaja????
msaada wako tafadhali chief-mkwawa
mkuu mi nilitaka untajie ili nigoogle ila wewe unaweza ukaifanya mwenyewe. sababu chinese product kujua specs shida kidogo ukigoogle unapata clue.
ila kwa kukisia s4 clone za bongo possibly ni 1gb ram na 1ghz quadcore
poa chief.
sasa ni vtu gani muhimu vya kuzingatia wakati wa kuchagua au kununua clone???
Kwa nin mnunue clone?? Sasa 300 yote unanunulia clone akati India utapata simu za kutisha na nzuri kama geonee elife e3,xolo q800 na nyinginezo na zote zina camera yenye bsi sensor acheni mawazo finyuu...