Galaxy mpya kuingia sokoni ni S6

Galaxy mpya kuingia sokoni ni S6

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
444
April mwakani kitu sokoni. Kwakweli mi nishawachoka na kila siku model mpya 😕😕
 
Attachments

  • 1419427887112.jpg
    1419427887112.jpg
    50.8 KB · Views: 768
Hazikai na charger. Simu one plus one, asyend met 2, experia z3. Hizi ndo simu. Izo samsung ambayo inauzwa bei ghali halikai na charger ya nn sasa?
 
Hazikai na charger. Simu one plus one, asyend met 2, experia z3. Hizi ndo simu. Izo samsung ambayo inauzwa bei ghali halikai na charger ya nn sasa?

kila mtu ana matumizi yake hio ascend mate 2 ina snapdragon 400 ukilinganisha na snapdragon 805 ya note 4 au s5 mpya ni utani. kuna wengine wanataka perfomance, wengine wanataka camera nzuri, wengine wanapenda ubishoo nk. kila mtu na motive yake anaponunua simu na kama battery ingekuwa ndio kigezo iphone wana battery life mbaya/yakawaida sana, hivyo zisingenunuliwa kabisa sababu wao ndio ghali kabisa
 
xperia mambo yote bana full full samsung hamna kitu fashion tu
 
nina samsung s5 original wakuu nauza laki 6.5. nichek DM kwa muhitaji.
 
Karibu kwenye ulimwengu wa pantech na vega no 6 yangu maisha murua
 
Facts gani? Nimezungumzia kitu kimekamilika. Mkwawa kaenda nje ya kitu nilichozungumzia. Unajua unaweza kuwa unajua sana vitu. Lakini ukiwa muongeaji sana. Unaweza kuharibu. Mkwawa ameenda off topic. Nimezungumzi betri life vs bei. Tatizo mkwawa ana kisamsung chake galaxy 3. Ndo anachokitetea. 😛 ,
 
Kakupa sababu kwa nini hio battery life ni ndogo hivo visimu ulivyovitetea vina processor ndogo ndo mana na battery life yake ipo hivyo usitake v8 itumie sawa mafuta na vigari vya kawaida so unachagua unataka u save mafuta au unataka engine kubwa yenye nguvu hapo mahitaj yako tu so usikurupuke kulalamika kabla hujachunguza
 
Unajua watu hawajui kwa nini muda mwingine kampuni kama samsung na apple wanapiga bei kubwa, simu kama galaxy note 4 kuitengeneza cost zote hadi inakamilika ni kama $200, lakini wanaipiga kuanzia $800, kwanza kampuni ni world class ile wafanyakazi wengi mno, wana vitu vingi kama research kutengeneza sensors, displays etc huku kampuni nyingine wananunua kwao tu na kuungaunga, bado angalia support, samsung na apple wana support kubwa kuliko kampuni nyingine zote, apps zao kibao, online pia support kutoka kwa developers, bado services simu yako ikiharibika uende wakurekebishie, kuna kampuni nyingine hata service centers zao kupata mziki, accessories zipo, yani anything you want to do with your phone unapata unlike manufacturers wengine simu ikizingua ukitaka kitu utatafuta hadi unyanyue mikono.. Afu quality yenyewe, jamaa wanatoa vitu high quality kuanzia material yenyewe, kioo, kila kitu wanahakikisha ni grade Super... mtu aliyetumia galaxy note series original anajua utofauti wake na visimu vingine...
 
Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom