Galaxy mpya kuingia sokoni ni S6

Galaxy mpya kuingia sokoni ni S6

Kwa space za Xperia z3c wangekua Samsung wangeuza milioni mbili.
 
kila mtu ana matumizi yake hio ascend mate 2 ina snapdragon 400 ukilinganisha na snapdragon 805 ya note 4 au s5 mpya ni utani. kuna wengine wanataka perfomance, wengine wanataka camera nzuri, wengine wanapenda ubishoo nk. kila mtu na motive yake anaponunua simu na kama battery ingekuwa ndio kigezo iphone wana battery life mbaya/yakawaida sana, hivyo zisingenunuliwa kabisa sababu wao ndio ghali kabisa

Mkuu mkwawa nakukubali sana ukianza kuzichambua simu, then unatujua cc vijana wa kileo tunapenda show off kibao and samsung is the best. Natumia samsung galaxy huwa nipo confortable anytime as if mm ndo nai control dunia.
 
Daaah hawa apple sijui wameniroga maana kuanzia 2g,3g,4s 5c na sasa nataka kuhamia kwenye 6 bado niko nao tu betri inazingua sana hizi simu sasa sijui kwanini hawazirekebishi sababu lazima kila siku nichaji simu kama nikifungulia 3g lakini bado niko nao tu hawa jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom