Galaxy G10 from Korea

Galaxy G10 from Korea

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Habari Ndugu zangu wana JF,
Nimepata Simu ambayo ilikuwa inatumiwa Korea,numeweka line ya Tigo nikiangalia salio napata this prompt msg;
Roaming RoamingAutoDial

Call Korea
Call other countries.

Please tusaidiane Ndugu zangu.
 
Nenda kwa mafundi wakusaidie ku-flash maana haitumiki hapa TZ.
 
Sijakupata vizuri maana sijajua kama ukipiga au kupigiwa huna tatizo ila kuangalia salio tu ndio unapata huo ujumbe.
Jibu ambalo sina uhakika sana kama litakuwa sahihi sana ni kwamba baadhi ya nchi za ulaya kama sweden, Norway nk simu zinasajiliwa kutumika kwenye specific area (eneo) ukienda nje ya hapo haifanyi kazi, mimi nilikuwa nilikuwa Denmark nilipotaka kunua simu nikaulizwa unaitumia wapi, nje ya nchi au hapo ulipo
 
Basi kama inapokea lakini haitoi calls.. Unahitaji kuiflash, nenda kwa fundi, kama ungekua na ujuzi ungeweza kuiunlock mwenyewe maskani ila kama huna utaalamu wa kutosha na computer nenda tu kwa fundi, buku tano kumi unachomoka
 
Just nipe hint tu,naweza fanya mwenyewe mkuuu,coz Nina kila kifahaa plus computer and cable
 
Back
Top Bottom