Gaidi Mkuu wa Alshabaab ajisalimisha

Gaidi Mkuu wa Alshabaab ajisalimisha

Status
Not open for further replies.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,529
Reaction score
109,004
[h=1]Kiongozi mkuu wa Al Shabaab ajisalimisha[/h]
28 Juni, 2013 - Saa 09:50 GMT

130626135355_hassan_dahir_304x171_bbc_nocredit.jpg
Kiongozi wa alshabaab Dahir Aweyes

Umoja wa mataifa unasema kuwa kiongozi mmoja mkuu wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Somalia, al-Shabab, Hassan Dahir Aweyes, amejisalimisha kwa wanajeshi wa Somalia.
Bwana Aweyes alitafuta hifadhi mjini Adado,mji ulio umbali wa kilomita miatano kaskazini mwa Mogadishu baada ya mapigano makali kati ya mirengo ya Al Shabaab mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa kiukoo, wamekwenda huko kujadili watakachofanya naye baada ya kujisalimisha kwake.
Lakini viongozi hao wamefahamisha mwandishi wa BBC kuwa amekanusha madai kuwa amejisalimisha na kwamba amekataa kusafiri kwenda Mogadishu.
Bwana Aweyes amekuwa akijulikana kama kiongozi mkubwa katika kundi la al-Shabab na Umoja wa mataifa na Marekani zinamfahamu kama gaidi

1016044_608316372520365_277815605_n.jpg
 
Kiongozi mkuu wa Al Shabaab ajisalimisha

dah, naona hii ndiyo stail ya magaidi wote wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola. hebu cheki na hii picha ya hapa chini.

images
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom