Gado amchora Magufuli hivi kufuatia juhudi zake za kulinda madini, anamaanisha nini?

Ni wazi ana chuki na jpm, sababu anaijua yeye huyo malafyale ila cartoon yake hiyo haina uhalisia maana support na mwitikio wa watz wengi kumsapoti rais ktk hili ni mkubwa.

Utafiti wa twaweza hausupport hiyo kauli yako kuhusu support. Infact inapungua kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom