Gaddafi's Female Super Guard

Gaddafi's Female Super Guard

He will always be remembered....a true African hero...rest in Peace Muamar,ur the Lion...
 
16.jpg


17.jpg



18.jpg


19.jpg



20.jpg




21.jpg



22.jpg


23.jpg


24.jpg



25.jpg


26.jpg


27.jpg



28.jpg



29.jpg


30.jpg
Mkubwa wao alikuwa anawachagulia wanaume wa kullala nao, mbali na Ghadafi mwenyewe wapambe wa Ghadafi!!!!!!!!! Vile vile walitumika kuuwa watu wengi, mmoja wao alikuwa anashuhudia, professional killers!!!!!

 
Mtu atakayeweza kuwapata hawa wadada akawahoji na kuandika kitabu kuhusu wao atapata fedha ya kutosha maana wengi wanapenda kujua Gadafi alikuwa anawapataje na walikuwa wapi siku anauwawa
Labda wako chini ya aridhi futi ishirini, unacheza na Ghadafi wewe????????

 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza!!!!

Ad0BMmuxveF5AAAAAElFTkSuQmCC
kilemba cha uyo mama kimeniacha hoi, huo mkato wa nyuma inanikumbusha nyumbani, bibiangu alikuwa anakiweka dizain hii, my friend anapendezaje mkulu, i hope this is not tz first lady!
 
kosa kubwa mjawwapo la ghadaf ni kuwa na mabodigadi wanawake
 
Mkubwa wao alikuwa anawachagulia wanaume wa kullala nao, mbali na Ghadafi mwenyewe wapambe wa Ghadafi!!!!!!!!! Vile vile walitumika kuuwa watu wengi, mmoja wao alikuwa anashuhudia, professional killers!!!!!



Nimekubali GHADAFI RIP alikuwa true AFRICANIST alionyesha mpaka kwenye mavazi!
 
Muammar el-Gaddafi with a virgin female bodyguard 1.jpg Huyu mlinzi wa kike wa Col Ghadaf anaonekana yuko serious, ni mrembo na anaelewa anachokifanya. Swali lisilo na jibu, sijui ameolewa, ana watoto na kama yuko hai au naye alishauawa!!!
 
Back
Top Bottom