Gaddafi.....the man!

Gaddafi.....the man!

Nachukizwa sana na viongozi wetu Africa. Ni wanafiki sana, hawana misimamo, wanauza uhuru kwa maslahi binafsi. Tumeona haya kwa Mugabe na sasa Gadafi. Congo wamarekani wanashabikia vita huku wakiiba utajiri wa wananchi wake. Libya kwa kutumia branketi la demakrasia wanaisambaratisha nchi, watu wake na uchumi wake ili waendelee kututawala na kutuibia. Na sishangai urafiki wao hata kwa nchi kama Tanzania utapelekea kupata mkong'oto tu siku moja ili wachukue mali zetu. Jamaa asili yake Kenya. Iweje aipende Tanzania zaidi kuliko aliko na nasaba? Ama kweli, wajinga ndio wali wao.
 
Eeh Mwenyezi Mungu usiyelala wala kusinzia tunakuomba uwape faraja Ndugu zetu wa Libya pamoja na Kiongozi wao katika wakati huu mgumu wa hujuma, uonevu na ufedhuli unaofanywa na wanaojiita wababe wa hii dunia. Wanadhani wana nguvu kuliko wewe. laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie wote wanaoendeleza hujuma hii kwani wanaoathirika ni kina mama na watoto wasio na hatia. Laana tu llahi...
 
Jamaa bado ushajaa africa kwani ndio muanzilishi wa AU,na pia anasema hata watumie makombara wananchi wako imara kuliko makomora yao,hata watumie vifaru wao wako imara kuliko vifaru vya nato na hatojisalimisha na hatokimbia nchi ni heshima kufia nchini mwake mara 1000 kuliko kukamatwa na majeshi ya nato huyo ndio Gadafi wa juzi,jana na leo
Hamsini zake zimefika...aanze kujiandaa na lolote maana Sadam alinyolewa ndevu, Osama risasi ya jicho...huyu bwana atanyolewa nywele ili ajue uhuni dunia hii haulipi
 
Kwa kweli huyu jamaa mi sijaona kosa lake maana kama ni maisha hakuna nchi wanaishi vizuri kimaisha kama libya ila ni western hipocrities ndo zinamzonga kwa sasa.ila to me is my heroooooooooooooooo!!!!!!walimuanza wakifkiri ni ronya ronya kudadadeki mpaka sasa miezi inasonga na kidume wala hakionyeshi dalili kudadadadeki.aibu yao wenyewe!!!walijua kwa vile ni africa watarahisisha mahesabu kumbeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
Naafiki mkuu!
Japo kosa kubwa alilolifanya ni kukaa madarakani muda mrefu lakini tuache unafiki kidogo.
Malkia wa Uingereza kakaa madarakani toka 1953 na anataka kumuachia nchi mjukuu wake!!!
Mfalme Feisal wa Saudi Arabia mbona Marekani hawamgusi?
Leo jamaa wanafanya mazoezi ya mizinga na target practice nchi ya Libya na kuua watu wasio na hatia.
 
All the African independent governments should have rallied behind Gaddafi because he is the epitome of an independent African country by words and deeds; we should have sent our soldiers to fight the western imperialist aggression against our brothers in Libya. Gaddafi's fall is Africa's fall, for who knows who will be next in the quest for the imperialist's hunger for the continent's resources?

Mgogoro wake na wazungu ndio tupeleke wanajeshi wetu wakafe? Acha tusolve matatizo yetu ya ndani, kwanza hata Commoro hatukupaswa kupeleka wanajeshi wetu. Yote kwa yote acha wafu wazikane
 
Naafiki mkuu!
Japo kosa kubwa alilolifanya ni kukaa madarakani muda mrefu lakini tuache unafiki kidogo.
Malkia wa Uingereza kakaa madarakani toka 1953 na anataka kumuachia nchi mjukuu wake!!!
Mfalme Feisal wa Saudi Arabia mbona Marekani hawamgusi?
Leo jamaa wanafanya mazoezi ya mizinga na target practice nchi ya Libya na kuua watu wasio na hatia.

Maslahi Mkuu ,Maslahi hamna chochote zaiiiiidi.
Pamoja na mabaya yake lakini yapo mazuri aliyoyafanya LIBYA, Kosa lako ni kugeuza Libya mali yake tu basi. Hawarudishie nchi wenye nayo,Kama anaitakia mazuri Libya aondoke kimya kimya, Akiondoka kwa nguvu atawapisha Washenzi watakuja kukomba kama IRAQ.
 
Back
Top Bottom