Gaddafi: The end of a miserable despotic Tyrant!

Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
Kwa kweli ni bora nionekanane sina moyo wa uzalendo kwa kusikitishwa na kifo cha Baba wa Bara.
 
Basi kama ni hivyo Waganda leo wangesherekea kufa kwa Nyerere kwani ndiye aliyemsaidia Obote kuuwangusha utawala Sir.Edward Mutesa na pia akamsaidia M7 ambaye naye ameua wengi na bado anaua wengi.Gaddafi katoa misaada mingi Afrika ya kiuchumi,kielimu na kiimani.Viongozi wa tanzania wangapi kumtoa Nyerere ambao wamesaidia nchi za kiafrika ki uchumi,kielimu na kiimani ambao ata nchini mwao wameshindwa.
 
nakubaliana na wewe kuhusu msaada aliopewa idd amin
lakini siwezi kufurahia kifo cha aibu namna ile,nataka ujue sababu za wazungu kumwondoa gaddafi kwa aibu

ulitaka wamwondoe huku wanampiga kissi???eehh
 
Nahisi sio tu watanzania bali wakristo wa uganda nao wanafurahia kifo chake kama si pamoja na wa tanzania walitukanwa siku anapitisha vijimsaada vyake kwa ajili ya misikiti laana mlaaniwa yule ..,,kafir mkubbwa
leo anapitishwa mtaani kila mtu amwone libya hana adabu ya kuzaliwa..watu wanakufa anasema vijana wanapimana nguvu
 
hayo yalishapita!! Mbona mkwerè amenda sana libya na kama kawaida kapiga naye picha kibao..kuonesha mambo yalikuwa fresh.

mkuu ndie aliewajazia misikiti kule bagamoyo na ndicho alichokifurahia kwenye picha zake na gadafi mkulu huyu badala ya kumpa uwanaja ajenge shule watu wasome anaenda anje ya nchi kuomba pesa za kujenga misikiti laana huyu kanakwamba atuna hela za misikiti...ogopa shida nakwambia maishan mwako
 
Hayo yalishapita!! Mbona mkwerè amenda sana libya na kama kawaida kapiga naye picha kibao..kuonesha mambo yalikuwa fresh.
Kwani ****** sio Mtanzania? Mada yangu ya msingi inahusu mtanzania yeyote bila kujali nafasi yake katika uongozi wa nchi hii. Kama ****** alikwenda huko na kupiga picha nae, sio kweli kwamba eti mambo ni fresh kwa wengine, hii ni dalili ya kwamba mkuu hakuwa na wala hana mtazamo kama huu nilionao mimi. Upo hapo?
 
Basi kama ni hivyo Waganda leo wangesherekea kufa kwa Nyerere kwani ndiye aliyemsaidia Obote kuuwangusha utawala Sir.Edward Mutesa na pia akamsaidia M7 ambaye naye ameua wengi na bado anaua wengi.Gaddafi katoa misaada mingi Afrika ya kiuchumi,kielimu na kiimani.Viongozi wa tanzania wangapi kumtoa Nyerere ambao wamesaidia nchi za kiafrika ki uchumi,kielimu na kiimani ambao ata nchini mwao wameshindwa.

U r genious. Asipoelewa tumwache sie tukimbili karne ijayo coz anaonekana ni mkijiji sana kimawazo. Hawa ndo wanaorudi kwny nyumba zao na kuwalazimisha wake zao wawavue viatu. Full of crap!
 
Basi kama ni hivyo Waganda leo wangesherekea kufa kwa Nyerere kwani ndiye aliyemsaidia Obote kuuwangusha utawala Sir.Edward Mutesa na pia akamsaidia M7 ambaye naye ameua wengi na bado anaua wengi.Gaddafi katoa misaada mingi Afrika ya kiuchumi,kielimu na kiimani.Viongozi wa tanzania wangapi kumtoa Nyerere ambao wamesaidia nchi za kiafrika ki uchumi,kielimu na kiimani ambao ata nchini mwao wameshindwa.

U r genious. Asipoelewa tumwache sie tukimbili karne ijayo coz anaonekana ni mkijiji sana kimawazo. Hawa ndo wanaorudi kwny nyumba zao na kuwalazimisha wake zao wawavue viatu. Full of crap! Bora umpe kaelimu huyo, endelea!
 
Tena kama alijenga na misikiti, watanzania lazima tusikitishwe, at least kwa waumini flani kawapatia pakuabudu though kwa sisi wengine tunajengaga wenyewe tu but ni mengi kafanya mzee wa watu. Ila sasa cjui bahari beach hotel inakuwaje maana hayati alikata fungu pale. Bingo hyo kudadadeki.
 
Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?

Mpaka hapa ninapoandika hili jibu langu tuliosikitishwa na kuumizwa na kifo cha mwana wa Afrika namba 1 tumeshinda kura 12 kati ya 19! Kwa kweli Afrika tumekwisha! Huyu ndo alikuwa anapigania maslahi ya mwafrika hasa hasa kupinga hujuma tunazofanyiwa na mataifa ya magharibi kwenye raslimali zetu. Gadhaffi alaikuwa haogopi sura ya Mzungu alikuwa anawachana LIVE.

Sasa maskini amebaki Mugabe peke yake huyu ataweza nini? Afrika Kwishney!!
 
we nawe! Yaani tufurahishwe na dhulma ile? Unasubiri mpaka mtu anakufa ndio unakuja na huo uzalendo wako? Ungeiambia Serikali ya kibongo isiukubali ubalozi wake toka zamani.
 
mkuu ndie aliewajazia misikiti kule bagamoyo na ndicho alichokifurahia kwenye picha zake na gadafi mkulu huyu badala ya kumpa uwanaja ajenge shule watu wasome anaenda anje ya nchi kuomba pesa za kujenga misikiti laana huyu kanakwamba atuna hela za misikiti...ogopa shida nakwambia maishan mwako

mkwerè hii ngoma imemhusu ngoja tuone kama atatoa tamko.
 
Napata tabu sana kuelewa inakuwaje binadamu anafurahia kifo cha binadamu mwenzie.
Hivi inawezekana kwa Mataifa kadhaa ya Afrika kwenda nchi moja ya Ulaya(let say France) alafu impindue na kumuua rais wao kisha mataifa mengine ya Ulaya yakakaa kimya tu bila kuchukua hatua yeyote?
Waafrika akili zetu zina upungufu, sio bure.
 
so sad kama uzalendo nikusherekea kutawaliwa tena na westn nations. GADAF was a true PAN-AFRICAN.
RIP CORLONNEL
 
katika vita kati tanzania na uganda libya ikiwa chini ya utawala gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa idi amin dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanajf kuhusu mtazamo wangu?
una busara wewe
 
hujui ulisemalo ww mana hujui hata kwann USA imemkata kamba mshkaji na hata hutaki kujua kwann wanawakata wale wanaoonekana kua strong
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom