Gaddafi: The end of a miserable despotic Tyrant!

Hayo yalishapita!! Mbona mkwerè amenda sana libya na kama kawaida kapiga naye picha kibao..kuonesha mambo yalikuwa fresh.

Una maana kwa ****** kuna kilio kwa kutokwa na rafiki yake kipenzi!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
So Obama and his Western allies are really progressing with their bid to try and recolonize Africa. They claim Gaddafi was a dictator. I agree. But is this the way to do things? How about BUSH. That man is the Hitler of our times. So much blood is on his hands yet he is a hero in America. I honestly feel bad. I am African. I don`t agree with what these monsters have done but there is little I can do. But a time will come when finally we African people can turn our backs on the West and make ties with the East...
 
Col. Muammar Gaddafi's revolution has come to a bloody end. He was captured by the fighters of the National Transition Council and later died at the hands of his captors in what is being said to have been a summary execution. With him has come an end to his September 1969 revolution which toppled King Idris regime. When he took power Gaddafi was only 27 years old. His military revolution was brought to an end by the Libyan people's counter revolution.

The people's revolution which began almost eight months ago in an opposition stronghold of Benghazi in Eastern Libya found its way to end Gaddafi's rule in his hometown of Sirte earlier on Thursday. A poetic end to one of the world's most hated – and sometimes loved- tyrant. The death of Gaddafi has brought to an end Africa's remaining despotic regime in a manner no one could have fathomed just a year ago. For some of us in Tanzania and Africa in general the news of the demise of Col. Muammar Gaddafi comes some years late.

Read it On CNN Ireport
Gaddafi is gone. So is Mubarak. Also planned to go are Mugabe and Mutharika. Behind all these departures are Western forces. The question that comes very strongly on the mind of any African is: "Is this about removing dictators or removing Africa from the dinner table?" With guns frighting from one side, and IMF dollars fighting from the other, Africa - as we know it as the continent for the great African race - is on the verge of collapse. It is time the Afircan Union woke up from slumber.
 
Huyu msemaji anaonekana kuwa juha asiye na la kusema. Anadhani watu wote ni majuha kama yeye? Kama huyu amesoma kwa pesa ya Gaddafi aliyowaibia walibya asidhani wote ni wajinga na tegemezi kama yeye. To hell with you guy who is bootlicking Gadaffi.
no one has the right to kill a person even if the person killed was a dictator
 
When will we learn to call spade a spade? Kwanini tunatoa tangazo kulaani kwanini walibya wamemuua Gaddafi wakati hatukuwahi kumlaani Gaddafi kwa kuwakandamiza watu wake? All those jubilant people in streets, sent a message that Gaddafi was not for them as Libyans. Kama alikuwa mtu mzuri sana,tunayempenda na kumjari,si tungemkaribisha huku wakati dalili zilipoanza kuonyesha nini kilikuwa kinamsubiri mbele yake
 
Huyu jamaa alichezea pesa za walibya kama za kwake vile. Na walibya mnaowalaani sasa,sijui kwanza kama hata wanajua kama kuna nchi inaitwa Tanzania. Na pengine niwaulize kati yetu na hao wazungu waliowasaidia walibya kumwangusha Gaddafi ni yupi ni jirani na Libya? Wazungu wangekaa kimya,wakamwacha Gaddafi akiua watu wake kungekua kumejaa threads hapa kwamba hawajari kwasababu wanaokufa ni wazungu,wamechukua hatua bado mnalalamika!! Mnataka nao waangalie kama ambavyo majirani wa Rwanda,DRC na Somalia walivyokaa kimya huku maelfu ya wananchi wakiuwawa kikatili? Si AU ama huyo shujaa wenu Gaddafi alikemea na kuchukua hatua ya kukomesha mauji. Waafrika tuwanafiki sana.
 
Ghadafi angeuwa watu wake wepi?- vipi hawa Walibya 50000 waliouawa baada ya kampeni ya NATO wakishirikiana na Waasi?, je Marehemu wale hawakuwa na haki ya Kulindwa?- kwa nini NATO walikataa ceasefire zote zilizotolewa na Colonel Ghadafi?.

Hakuna chochote cha demokrasia, ni MAFUTA na UKOLONI baasi!.
 
BS
Qaddafi alimwamini Amin Dada cz at tht tym walihitajika viongozi wa aina ile! Alikuwa m2 thabiti kutetea haki na rasilimali za mwafrika hakuogopa ngozi nyeupe kama walivyo viongozi wetu wote wa Africa ambao hawana msaada wowote! limebaki jembe1 nalo ni Mugabe
 
Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
Na Gadaffi alimsaidia Idi Amin kwa kigezo cha udini.
 
So Obama and his Western allies are really progressing with their bid to try and recolonize Africa. They claim Gaddafi was a dictator. I agree. But is this the way to do things? How about BUSH. That man is the Hitler of our times. So much blood is on his hands yet he is a hero in America. I honestly feel bad. I am African. I don`t agree with what these monsters have done but there is little I can do. But a time will come when finally we African people can turn our backs on the West and make ties with the East...
At the moment kind of your dreams are becoming true, my friend .
 
Back
Top Bottom