Hicho kitabu kidogo ni United Nation Charter,Jamaa anajaribu kuonyesha kuwa UN inaendeshwa kinyume na madhumuni yaliyokusudiwa...Atmosphere kwenye room sio nzuri watu wengi wametoka na hali ipo tense!
Wapambe wake kabla hajatinga New York walikuwa wanahaha kumtafutia sehemu yenye nafasi ya kutosha ili asimike Turubai lake la Kibedui kama kawaida yake. Sijui aliishia wapi na jambo hilo, maana jamaa huwa hataki kulala ndani ya mahoteli.
Hicho kitabu kidogo ni United Nation Charter,Jamaa anajaribu kuonyesha kuwa UN inaendeshwa kinyume na madhumuni yaliyokusudiwa...Atmosphere kwenye room sio nzuri watu wengi wametoka na hali ipo tense!
With Jetlag and expenses and all that mmechoka, sijui magaidi, he lost me. I liked when he was talking about AU to get a permanent seat kwenye Security Council na kudai haki zetu si kama Mzee Matonya, bali kutaka tuwe na nafasi sawa kiuzalishaji na kwenye soko (kura).
point zake zingine zimetulia zingine ziko nje ya mstari ila kaonesha courage ya freedom of speech na kile anachoamini kuwa ni haki, viongozi wengi hasa wa africa ni waoga.