Mkuu tatizo la huyu jamaa ni kuwa amekaa sana madarakani mpaka amelewa,pili anamambo ya kibabeMkuu jasiri hivi wewe si uingie mtaani hapa Tanganyika ama huna linalokupa shida katika nchi hii, kuna mengi hebu sema hata umekerwa na mgao wa umeme!! jamani hebu tuwe wakweli msirubuniwe tu na media ambazo nyingi ni kama Mtanzani, Rai na the African!! hawa hawawezi kuandika lolote against Rostam, sasa libya wako vizuri sana sio kama hapa ndio mana nashangaa why wamfukuze huyu mzee!!
Mkuu jasiri hivi wewe si uingie mtaani hapa Tanganyika ama huna linalokupa shida katika nchi hii, kuna mengi hebu sema hata umekerwa na mgao wa umeme!! jamani hebu tuwe wakweli msirubuniwe tu na media ambazo nyingi ni kama Mtanzani, Rai na the African!! hawa hawawezi kuandika lolote against Rostam, sasa libya wako vizuri sana sio kama hapa ndio mana nashangaa why wamfukuze huyu mzee!!
Mkuu hayo wewe wasema , lakini waLibya nao wananena , yawezekana unaouona uzuri ni relative na mambo yetu ya hapa si ule ambao wa Libya waliutarajia.Mkuu jasiri hivi wewe si uingie mtaani hapa Tanganyika ama huna linalokupa shida katika nchi hii, kuna mengi hebu sema hata umekerwa na mgao wa umeme!! jamani hebu tuwe wakweli msirubuniwe tu na media ambazo nyingi ni kama Mtanzani, Rai na the African!! hawa hawawezi kuandika lolote against Rostam, sasa libya wako vizuri sana sio kama hapa ndio mana nashangaa why wamfukuze huyu mzee!!
Sasa anasema kuwa yeye bado ajaanzisha bifu,ila anaona kama vile watu wanamtaka alianzishe!
na yuko teyari kulianzisha
Now he must go,and his days ar numbererd. For him now is like no body in no body out! darkness days and sadhe has been in power since 1969 and he think his people will let him rule for the rest of his life? this is wat happens when a leader wants to rule forever, they r alwyz taken out by force! ohh poor africa god bless us
Na kweli ni mtu wa vitendo, mamia wameshakufa , Helcopter na ndege zinatumika dhidi ya waandamanaji wasio na silaha , kweli Mkuuu una haki ya kumfagilia.Gadaffi is the leader and the ruler I admire.I had been in Libya sometimes back and what he says about economy is true story.Walibya waache kufata mkumbo itawacost.Gadaffi anamaanisha anachokisema kwa vitendo that is true story
Sasa anasema UK na America wananichukia sana, lakini hawaniwezi ng'o na sitasurrender
Hana lolote huyu. Mikwara tu hiyo. Mwanzo wa mwisho wake ushawadia...
nimemckia anavyofoka
inasadikiwa kuwa ana uwezo wa kuongea for 4 hrz