Gaddafi kwa uchache, amenivutia Sana kwa sifa hizi hapo watu wana mtuhumu kuwa alikuwa gaidi, sikubaliani na maneno hayo..!!!!!

Icon Special

JF-Expert Member
Mar 14, 2019
257
230
*Kama* *ulikua* *humjui* *vizuri* *Canal* *Muammar* *Gaddafi* ,
*Ngoja* *nikufahamishe* ;-
- *Gaddafi* ni mtoto wa 10 katika familia ya watoto 15,
- *Gaddafi* wazazi wake wote waliuliwa kwa vita,
- *Gaddafi* aliwahi kufukuzwa shule akiwa form 2,
- *Gaddafi* alikuwa mwanajeshi kabla ya kuwa rais,
- *Gaddafi* aliingia madarakani kwa kupindua nchi,
- *Gaddafi* ndie rai pekee duniani alieibadilisha Libya kutoka kuwa jangwa hadi kuwa green country kwa kuchimba mfereji kutoka bahari ya sham hadi katikati ya nchi na kuyabadilisha MAJI ya chumvi kuwa baridi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa MAJI bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa umeme Bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa ardhi bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anawalipia mahali wanandoa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anajengea nyumba watu bure,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa hatozi kodi kwa raia wake,
- *Gaddafi* rais pekee duniani aliekuwa analindwa na walinzi wakike pekee,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alipenda wananchi waendelee kwanza kuliko familia yake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alieifanya nchi yake isiwe na deni popote duniani,
- Libya ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na mafuta mengi duniani,
- *Gaddafi* ndie rais aliekuwa anapendwa zaidi Africa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliemuunga mkono idd amin katika vita ya kagera,
- *Gaddafi* na ndie rais pekee duniani aliempiga marufuku rais marekani asikanyage Libya,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alie semwa na marekani kuwa ameuawa kimakosa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliezikwa na watu wachache,
- Gaddafi ndie rais pekee pekee Africa aliejenga msikiti kila nchi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee Africa aliekuwa na ndoto ya kuinganisha Africa.
*Huyo* *ndio* *Canal* *muammar* *Gaddafi* *simba* *wa* *Africa* .
*Neno* *moja* *kwake* ......
Yesterday at 9:06 AM · Public

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asanteni sana watanzania , kumbe bado mwanikumbuka ?
mm niko huku peponi nakunywa maziwa na asali.

Japokuwa mimi ni Mkristo ila nampenda Gaddafi na namkubali mno.

Huwa nikiona ule misemo yake na kulinganisha Libya ilivyo sasa; hadi naisikitikia sana.

Naamini kuna wa-Libya wengi wanajutia kumkosa Gaddafi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walibya Wanaweza Wasiwe Na Furaha Kwa Hali Ilivyo Sasa Lakini Sidhani Kama Wanajutia Kumkosa Gaddafi.
 
Mimi niliposikia hili la kuwa upande wa nduli nilimchukia huyu na mkong’oto jeshi lake liliupata wa kutosha kutoka kwa JWTZ

..Gaddafi anaungwa mkono na uvccm kwasababu Jiwe aliwahi kumsifia na kuonyesha kumuunga mkono.

..lakini kwa maoni yangu waTz tunajidhalilisha kumsifia kiongozi kama Gaddafi ambaye aliwahi kutuma majeshi yake yatupige vita.

..huwezi kumuunga mkono Gaddafi halafu ukasema unaunga mkono majeshi yetu, haswa askari wetu waliopigana vita vya kagera.
 
Gaddafi Hata Nchi Jirani Zake Tu Walikuwa Hawampendi Hasa Algeria. Walikuwa Wakimlia Timing Tu!
 
Back
Top Bottom