Gadafi

Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?

Umejiunga lini humu JAMVINI? Umesoma sheria zake au unataka kuondoa watu ktk hoja?
 
Sasa naanza kusoma majina ya watoa mada! mi najibugi tuu nikiona pahala panafaa, lakini kumbe inabidi uangalie avatar na jina LA MTU pia! kumbe wengine akili zimetiwa m/taa a.k.a,zimechakachuliwa AAAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…