Gadaffi aliifanyia Libya mengi mazuri kuliko mabaya

Gadaffi aliifanyia Libya mengi mazuri kuliko mabaya

Kijana wa miaka 27 wa hivi sasa anamiliki uume na simu ya Tekno tu kama ni wa kiume. Hana anachojua zaidi ya kubeti

Na kama ni wa kike anamiliki uke na wigi feki la kichina. Hana anachojua zaidi ya kudanga.
😁😂😂😂😁😁😁
 
Licha ya mapungufu yake ambayo kila mtu anayo lakini Gadaffi alikuwa special one.

Huyu bwana mdogo aliyezaliwa Qasr Abu Hadi 1942 katika umri mdogo kabisa hata miaka 30 hajafikisha ni katika umri wa miaka 27 tu alikuwa na ndoto kubwa kuliko umri wake ya kuibadili Libya na hatimaye 1969 ndoto yake ikatimia kupitia mapinduzi.

Gadaffi aliifanyia Libya mengi mazuri kuliko mabaya hasa katika hali iliyokuwa nayo Libya kabla ya mapinduzi ambayo ilikuwa ikimtesa yeye na wana Libya wenzake toka kuzaliwa kwake.

Imagine kijana wa miaka 27 ana mzigo wa ndoto kubwa ya mabadiliko ya taifa lake ndani ya ubongo wake.

Je, uthubutu huo kama wa Gadaffi na ndoto kama za Gadaffi zipo katika vichwa vya vijana wa umri huo mdogo kama aliokuwa nao kanali Muammar Gadaffi leo ?

GREAT GADAFFI
View attachment 2990218
wapo,
nbona vijana wengi tu wamefanya mapinduzi ya maana sana kwenye maeneo mbalimbali mathalani, biashara, kilimo, viwanda n.k..............
 
Unadhani utapindua nchi bila kuungwa mkono na wanajeshi?😂 Lazma uwe sehemu ya jeshi ndio upindue nchi ndio maana wana mapinduzi wote wanaanzia kwenye mfumo wa jeshi.
 
Elezea mchakato mzima wa mapinduzi unavyokuwa ili tujifunze
Muda ukipatikana nitamwaga mboga

Kikubwa ,uelewe kwamba mtu mmoja huwezi teka ikulu harafu jeshi zima likutazame sikweli , lazima pako Well organised
 
Vijana wa zamani bora mkanyamaza tu kwasababu wengi wenu mlikuwa wapuuzi mno. Mna mchango mkubwa kwenye huu umaskini uliopo kwa sasa. Wakati kijana mwenzenu ana-organize mapinduzi nyie mlikuwa bize mnasema "zidumu fikra za mwenyekiti"... imagine nyie ndo mlikuwa mnatembea kutoka Arusha hadi Dar kuunga mkono azimio la Arusha.. mlikuwa mmekosa kazi za kufanya? Acheni kuchokoza vijana wa leo ambao ndo watoto wenu.
 
Back
Top Bottom