Gachagua amtuhumu Ruto kwa kushirikiana na Al-Shabaab katika biashara za siri

Gachagua amtuhumu Ruto kwa kushirikiana na Al-Shabaab katika biashara za siri

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto amewahi kukutana na viongozi wa kundi la kigaidi la Alshabaab.

 
Back
Top Bottom