Mwambie magu huu moto hipo siku atauona.
Swissme
Ngoja nikuambie kitu!!! Hii nchi haitakuja kupigana na nchi yo yote ile!! Pili, wala hakutakuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe milele. HIVYO NDIVYO ILIVYO...haijalishi ni nani ni au atakuwa rais... Hakuna atakayewezea kuleta vita ndani ya hili taifa, hata kwenye ndoto hicho kitu hakiwezi kutokea. Nasema hivi...hakuna vita wala umwagaji damu utakaotokea ndani ya taifa hili kwa njia ya vita!!! HAITATOKEA KAMWE...haka ukiwa ndiwe raisi... Mhutaweza kuleta vita.!!!.Mwambie magu huu moto hipo siku atauona.
Swissme
PovuNgoja nikuambie kitu!!! Hii nchi haitakuja kupigana na nchi yo yote ile!! Pili, wala hakutakuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe milele. HIVYO NDIVYO ILIVYO...haijalishi ni nani ni au atakuwa rais... Hakuna atakayewezea kuleta vita ndani ya hili taifa, hata kwenye ndoto hicho kitu hakiwezi kutokea. Nasema hivi...hakuna vita wala umwagaji damu utakaotokea ndani ya taifa hili kwa njia ya vita!!! HAITATOKEA KAMWE...haka ukiwa ndiwe raisi... Mhutaweza kuleta vita.!!!.
Hahaha...najua wewe ni mfuasi/mkereketwa Wa chama Fulani...Mimi siyo mfuasi Wa chama chochote...ujumbe wako uko very independent na nemeandika kweli tupu.Povu
Swissme
Huu ni ushahidi tosha kwamba CCM hawataki amani na ndio wachochezi wakubwa wakijificha nyuma ya mgongo wa Polisi. Ushahidi Ndio huo na hii thread haijafutwa hadi sasaChadema mmeona? Hawa ndiyo Wanaume siyo ninyi mnatishia nyau kumbe hata uwezo wenyewe wa kuhamasisha hamna!
Eti Watanzania wamekaa wanasubiri fisadi lowasa atoe tamko wakinukishe, kumbe fiksi tupu na kura milioni 6 waliiba, watu wa IT wa chadema walihack Tume yetu ya Uchaguzi na kujiongezea kura!
Sasa Gaboni tofauti ya kura 5,594 tu kati ya aliyetangazwa mshindi na aliyeshindwa, lkn fisadi Lowasa anasema kwamba kaibiwa kura wakati tofauti yake na Magufuli ilikuwa ni kura milioni 2 karibia 20% ya kura, kama siyo ugonjwa wa akili ni nini?
Raisi Ali Bongo Ondimba anasema yeye ndiyo ameshinda wakati Upinzani wanamgomea!
Na kweli hipo siku!Mwambie magu huu moto hipo siku atauona.
Swissme
Third law of motion [emoji109]Nice move
In every action there is equal and opposite reaction
Hakuna kitu kama hicho, kama kweli chadema wangekuwa na uwezo wa kukinukisha TZ wangeshafanya hivyo long time, ukweli ni kwamba hawana huo uwezo na kura milioni 6 waliiba, chadema hawana uwezo wa kufikisha kura milioni 6 Tanzania!
Sawa Mkuu ngedereSisi waafrika hatuna tofauti na ngedere.
Pambavu kabisa.
Unaambiwa hamna sehemu tamu kama ikulu kwa nchi za kiafricaNacheki Al-Jazeera hapa wanaonesha raia zimevamia shopping mall wamekomba karibia kila kitu,,, siasa za Africa zina safari ndefu sana