G55 walamba vyeo Chaumma

hao jamaa ni wanansiasa bold sana aise dah! Sema sasa watapambana na chadema ya uropokaji debe tupu tu ambayo pia haishiriki uchaguzi mkuu
 
Hongera zao kwa vyeo ni haki yao kidemokrasia hakuna chama cha siasa ambacho ni mama yao au baba yao kama Nyerere alivyosema

Ruksa mtu kuhama chama chochote kwenda kokote
 
😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Mbona kuna mtu chadema alipewa tiketi ya kugombea uraisi kabisa mara baada ya kujiunga huko. Siasa ni fursa haihitaji usirias kihivyo
 

Watanzania wangapi wanaenda ambao wanataka mabadiliko wataenda kwenye Chama cha ubwabwa!!!! tuache utani. Hawa wameshapiga pesa za CCM sasa wanamalizia mkataba
 
Maana yake kabla ya hapo, chama hakikuwa na Makamu Mwenyekiti, Katibu wala manaibu makatibu Tanganyika na Zanzibar....

Na ikawaje, Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mtungi hakuwa anaona mapungufu ktk chama hiki..?

Na bila shaka hawajawahi kufanya hata vikao vya kikatiba tangu kuanzishwa kwake...!

Yet, bado Jaji Mtungi Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amekiacha tu chama hiki...!!
 
Mbona lowassa alipewa na tiketi yakugombea urais.Haujui
Kugombea sio swa na kuwa kiongozi, unaweza ukapewa kugombea ukawa mshindi ila ukileta nyepesi ukavuliwa uanachama ukawa mwepesi.... Au haujui uzito wa mtu kuwa kiongozi wa chma aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…