G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

Wanaenda kula ubwabwa
Mara sinia ya ubwabwa wanaiona inakuja, wanasubiri kwa hamu huku wakimeza mate!
Mara sinia ya ubwabwa wanaiona hiyo inapita, wanakodoa macho na kuulizana, kulikoni?
Mara sinia ya ubwabwa inatua meza ya jirani nao wanabaki wameduwaa wasijue la kufanya!
Ghafla wanaamka ndotoni na kuanza kulialia na kujiuliza na kulaani hiyo ndoto ya ubwabwa!

Na hadithi yangu imeishia hapo! Nawahi Kisutu.

CC Administer
 
Wasaka tonge hawajiamini kiasi cha kutaja kuwa wanaenda Chaumma...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom