SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Mzee Spunda anakaribisha panyabuku shambani kwake hata mabua hatavuna maana hawa wanakula hadi kwenye mizizi.
Wakale ubwabwaWho cares!
JOn Mrem🤣🤣Mzee Spunda anakaribisha panyabuku shambani kwake hata mabua hatavuna maana hawa wanakula hadi kwenye mizizi.
relax bas usipanic gentleman,Maelezo mengi ya nini Sasa! Nani anajali!!
ramliView attachment 3338241
Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi.
Soma pia:
Vikao hivyo vinafanyika baada ya kuahirishwa. Awali, vilikuwa vifanyike Mei 10 na 11, 2025 lakini viliahirishwa. Macho na masikio katika vikao hivyo ni mapokezi ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Chadema waliojiuzulu nafasi zao.
Tangu Mei 7, 2025 kumekuwa na wimbi la viongozi na wanachama wa Chadema kutoka maeneo mbalimbali nchini kutangaza kukihama chama hicho kikuu cha upinzani nchini, kwa madai ya kimepoteza mwelekeo yakiwamo malengo ya kuanzishwa kwake ya kushika dola.
Miongoni mwa waliohama ni viongozi wa kada, mikoa, wilaya, majimbo, kata, waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Freeman Mbowe. Pia, Devotha Minja, aliyekuwa mwenyekiti kanda ya kati naye amekihama.
Waliokuwa wajumbe wa sekretarieti naibu katibu wakuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema na katibu wa sekretarieti, Julius Mwita.Aidha, kuna waliowahi kuwa wajumbe wa kamati kuu, wabunge na wanasiasa maarufu ndani ya chama hicho.
Upande wa Zanzibar, wajumbe sita wa sekretarieti nao wameondoka ambao ni Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni Mafunzo, Sera na Uchaguzi, Haji Abeid Haji, Ofisa Utawala na Fedha, Rahima Said Abdallah na Ofisa Utawala, Kassim Abdallah.
Wengine ni Katibu wa Chadema Kanda ya Unguja, Yunus Makame, Katibu wa Chadema Kanda ya Pemba, Habib Ali Khamis na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Asiata Said Abubakar.
Wote ambao wametangaza kuondoka Chadema wamekuwa wakieleza watatangaza wapi wanakwenda kuendeleza harakati zao za kisiasa na Mwananchi limekuwa likiripoti kwamba watakwenda Chaumma.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Chaumma kinachoongozwa na mwenyekiti wake, Hashima Rungwe kinatarajia kujadili masuala mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na kubwa likielezwa ni kuwapokea kundi la wanachama na viongozi waliokuwa Chadema.
Taarifa ambazo Mwananchi limezipata kutoka ndani ya Chaumma zinasema: “Kesho tunafanya vikao viwili kwa mpigo cha kamati kuu na mchana halmashauri kuu. Katika Kikao cha mchana ndio tutawapokea hawa jamaa zetu, labda wabadili gia angani lakini kila kitu kipo sawa.”
Chanzo hicho ambacho kimeomba hifadhi ya jina lake kimesema: “Wajumbe wa Halmashauri Kuu tayari wameanza kuwasilia Dar es Salaam, lakini hatujajua ukumbi utakuwa wapi, kwani waandaaji wanafanya siri...bwana aise sisi wenyewe hatujui tunasubiri tu tuambiwe na ndio maana wajumbe wameambiwa waende ofisini kesho asubuhi.”
Alipoulizwa masharti wanayokwenda nayo amesema: “Hawa jamaa wana masharti mbalimbali, wanataka nafasi za juu za uongozi lakini si ya mwenyekiti, kuna wale viongozi ngazi ya kanda, mikoa hadi wilaya waendelee na nafasi zilezile, sasa hili bado tunajadili."
Leo Jumapili, Mei 18, 2025, Katibu Mkuu wa Chaumma, Mohammed Masoud alipotafutwa na Mwananchi juu ya vikao hivyo amesema maandalizi ya mikutano ya halmashauri kuu na kamati kuu inaendelea vizuri na kesho Jumatatu inafanyika.
"Ni kweli mikutano inaanza kesho lakini bado hatujapata ukumbi kuna watu tumewatuma wanaendelea na mchakato wa kutafuta 'location' baadaye tunajua ni wapi tutafanya mikutano yetu," amesema.
Alipoulizwa inakuaje mikutano inafanyika kesho lakini sehemu ya kufanyika haijulikani amesema: "Kulikuwa na mambo mengi yaliingiliana sasa kama nilivyokueleza kuna watu tumewatuma hadi kufikia muda huo tutakuwa tunajua na tutakuambia."
Pia alipoulizwa katika mikutano hiyo wanatarajia kuwapokea makada waliokihama Chadema amesema, "amekueleza nani," akakata simu.
Akizungumza kuhusu kupokea wanachama wapya waliokihama Chadema, Rungwe amesema, “bado sijajua kama kweli watatokea na tutawapokea katika mikutano hiyo lakini hiyo kesho nitakuambia usiwe na wasiwasi.
Alipoulizwa John Mrema miongoni mwa makada waliokihama Chadema kama kesho wanapokelewa kwanza alianza kujibu kwa kushangaa.
"Wewe umemsikia nani jambo hilo, kama ingekuwa kweli tunapokelewa si taarifa zingeshatangazwa ....Kusema kweli mimi sijui muulize huyohuyo aliyekueleza," amesema na kukata simu.
Hawa kwa kweli ni wa Hawaiian tuWalihama kina zitto sembuse kina Mwalimu na kina Devotha wanaolea viben 5 moro🚮
Jamaa Wanakwenda kupiga pesa na ubwabwa😀Kama kuna watu wamechanganyikiwa basi hao wanaokwenda Chauma, ni dhahiri kwamba focus yao ya kisiasa ni 0 brain.
Na naamini kwamba wanakwenda huko bila hata kufanya research, kwa wanachama gani waliopo chauma,
hizi elimu zingine sijui watu wanazipatia wapi. Utoke chadema uende Chauma, nawashauri waende kwa fundi umeme huenda kuna fuse zimekatika bila wao kujua.
Waandaliwe ubwabwa kwa kitoweo cha punda kama heshima kwao.View attachment 3338241

Huu ni mradi! Kuna tetesi watu wameahidiwa ubunge, kwa katiba ya Bongo nafasi za kugombea kisiasa ni lazima udhaminiwe na chama. Mpango huu ulikuwa umepangwa kabla ya Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.Kama kuna watu wamechanganyikiwa basi hao wanaokwenda Chauma, ni dhahiri kwamba focus yao ya kisiasa ni 0 brain.
Na naamini kwamba wanakwenda huko bila hata kufanya research, kwa wanachama gani waliopo chauma,
hizi elimu zingine sijui watu wanazipatia wapi. Utoke chadema uende Chauma, nawashauri waende kwa fundi umeme huenda kuna fuse zimekatika bila wao kujua.
Project ya serikali na ccmView attachment 3338241
Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi.
Soma pia:
Vikao hivyo vinafanyika baada ya kuahirishwa. Awali, vilikuwa vifanyike Mei 10 na 11, 2025 lakini viliahirishwa. Macho na masikio katika vikao hivyo ni mapokezi ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Chadema waliojiuzulu nafasi zao.
Tangu Mei 7, 2025 kumekuwa na wimbi la viongozi na wanachama wa Chadema kutoka maeneo mbalimbali nchini kutangaza kukihama chama hicho kikuu cha upinzani nchini, kwa madai ya kimepoteza mwelekeo yakiwamo malengo ya kuanzishwa kwake ya kushika dola.
Miongoni mwa waliohama ni viongozi wa kada, mikoa, wilaya, majimbo, kata, waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Freeman Mbowe. Pia, Devotha Minja, aliyekuwa mwenyekiti kanda ya kati naye amekihama.
Waliokuwa wajumbe wa sekretarieti naibu katibu wakuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema na katibu wa sekretarieti, Julius Mwita.Aidha, kuna waliowahi kuwa wajumbe wa kamati kuu, wabunge na wanasiasa maarufu ndani ya chama hicho.
Upande wa Zanzibar, wajumbe sita wa sekretarieti nao wameondoka ambao ni Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni Mafunzo, Sera na Uchaguzi, Haji Abeid Haji, Ofisa Utawala na Fedha, Rahima Said Abdallah na Ofisa Utawala, Kassim Abdallah.
Wengine ni Katibu wa Chadema Kanda ya Unguja, Yunus Makame, Katibu wa Chadema Kanda ya Pemba, Habib Ali Khamis na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Asiata Said Abubakar.
Wote ambao wametangaza kuondoka Chadema wamekuwa wakieleza watatangaza wapi wanakwenda kuendeleza harakati zao za kisiasa na Mwananchi limekuwa likiripoti kwamba watakwenda Chaumma.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Chaumma kinachoongozwa na mwenyekiti wake, Hashima Rungwe kinatarajia kujadili masuala mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na kubwa likielezwa ni kuwapokea kundi la wanachama na viongozi waliokuwa Chadema.
Taarifa ambazo Mwananchi limezipata kutoka ndani ya Chaumma zinasema: “Kesho tunafanya vikao viwili kwa mpigo cha kamati kuu na mchana halmashauri kuu. Katika Kikao cha mchana ndio tutawapokea hawa jamaa zetu, labda wabadili gia angani lakini kila kitu kipo sawa.”
Chanzo hicho ambacho kimeomba hifadhi ya jina lake kimesema: “Wajumbe wa Halmashauri Kuu tayari wameanza kuwasilia Dar es Salaam, lakini hatujajua ukumbi utakuwa wapi, kwani waandaaji wanafanya siri...bwana aise sisi wenyewe hatujui tunasubiri tu tuambiwe na ndio maana wajumbe wameambiwa waende ofisini kesho asubuhi.”
Alipoulizwa masharti wanayokwenda nayo amesema: “Hawa jamaa wana masharti mbalimbali, wanataka nafasi za juu za uongozi lakini si ya mwenyekiti, kuna wale viongozi ngazi ya kanda, mikoa hadi wilaya waendelee na nafasi zilezile, sasa hili bado tunajadili."
Leo Jumapili, Mei 18, 2025, Katibu Mkuu wa Chaumma, Mohammed Masoud alipotafutwa na Mwananchi juu ya vikao hivyo amesema maandalizi ya mikutano ya halmashauri kuu na kamati kuu inaendelea vizuri na kesho Jumatatu inafanyika.
"Ni kweli mikutano inaanza kesho lakini bado hatujapata ukumbi kuna watu tumewatuma wanaendelea na mchakato wa kutafuta 'location' baadaye tunajua ni wapi tutafanya mikutano yetu," amesema.
Alipoulizwa inakuaje mikutano inafanyika kesho lakini sehemu ya kufanyika haijulikani amesema: "Kulikuwa na mambo mengi yaliingiliana sasa kama nilivyokueleza kuna watu tumewatuma hadi kufikia muda huo tutakuwa tunajua na tutakuambia."
Pia alipoulizwa katika mikutano hiyo wanatarajia kuwapokea makada waliokihama Chadema amesema, "amekueleza nani," akakata simu.
Akizungumza kuhusu kupokea wanachama wapya waliokihama Chadema, Rungwe amesema, “bado sijajua kama kweli watatokea na tutawapokea katika mikutano hiyo lakini hiyo kesho nitakuambia usiwe na wasiwasi.
Alipoulizwa John Mrema miongoni mwa makada waliokihama Chadema kama kesho wanapokelewa kwanza alianza kujibu kwa kushangaa.
"Wewe umemsikia nani jambo hilo, kama ingekuwa kweli tunapokelewa si taarifa zingeshatangazwa ....Kusema kweli mimi sijui muulize huyohuyo aliyekueleza," amesema na kukata simu.
Hawa ni makocho kweli.. so waliahirisha ili kupata attention yao zaidi kuliko Tundu Lissu siku ya kesho? Kweli wamehongwa hawaView attachment 3338241

Yule mlevi kaitafuna sana ruzuku kama mchwaJOn Mrem🤣🤣
Hawa matumizi yao kwa CCM ni wakiwa ndani ya Chadema tu ili kuendelea kukidumaza, nje ya Chadema hawana matumizi endelevu kwa CCM hivyo uwezekano wa kutimizwa kwa hiyo ahadi ya nusu mkate ni mdogo sana.Huu ni mradi! Kuna tetesi watu wameahidiwa ubunge, kwa katiba ya Bongo nafasi za kugombea kisiasa ni lazima udhaminiwe na chama. Mpango huu ulikuwa umepangwa kabla ya Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Baada ya Lissu kushinda bila wao kutegemea Sasa wanatafuta chama Cha kuwadhamini ili wapate hizo nafasi walizohaidiwa.
Ushindi wa Lissu umewavuruga wengi sana hapa Tanzania, kuanzia ccm mpaka baadhi ya vyombo vya Dola.
ubwabwa utakuwepo?View attachment 3338241
Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi.
Soma pia:
Vikao hivyo vinafanyika baada ya kuahirishwa. Awali, vilikuwa vifanyike Mei 10 na 11, 2025 lakini viliahirishwa. Macho na masikio katika vikao hivyo ni mapokezi ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Chadema waliojiuzulu nafasi zao.
Tangu Mei 7, 2025 kumekuwa na wimbi la viongozi na wanachama wa Chadema kutoka maeneo mbalimbali nchini kutangaza kukihama chama hicho kikuu cha upinzani nchini, kwa madai ya kimepoteza mwelekeo yakiwamo malengo ya kuanzishwa kwake ya kushika dola.
Miongoni mwa waliohama ni viongozi wa kada, mikoa, wilaya, majimbo, kata, waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Freeman Mbowe. Pia, Devotha Minja, aliyekuwa mwenyekiti kanda ya kati naye amekihama.
Waliokuwa wajumbe wa sekretarieti naibu katibu wakuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema na katibu wa sekretarieti, Julius Mwita.Aidha, kuna waliowahi kuwa wajumbe wa kamati kuu, wabunge na wanasiasa maarufu ndani ya chama hicho.
Upande wa Zanzibar, wajumbe sita wa sekretarieti nao wameondoka ambao ni Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni Mafunzo, Sera na Uchaguzi, Haji Abeid Haji, Ofisa Utawala na Fedha, Rahima Said Abdallah na Ofisa Utawala, Kassim Abdallah.
Wengine ni Katibu wa Chadema Kanda ya Unguja, Yunus Makame, Katibu wa Chadema Kanda ya Pemba, Habib Ali Khamis na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Asiata Said Abubakar.
Wote ambao wametangaza kuondoka Chadema wamekuwa wakieleza watatangaza wapi wanakwenda kuendeleza harakati zao za kisiasa na Mwananchi limekuwa likiripoti kwamba watakwenda Chaumma.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Chaumma kinachoongozwa na mwenyekiti wake, Hashima Rungwe kinatarajia kujadili masuala mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na kubwa likielezwa ni kuwapokea kundi la wanachama na viongozi waliokuwa Chadema.
Taarifa ambazo Mwananchi limezipata kutoka ndani ya Chaumma zinasema: “Kesho tunafanya vikao viwili kwa mpigo cha kamati kuu na mchana halmashauri kuu. Katika Kikao cha mchana ndio tutawapokea hawa jamaa zetu, labda wabadili gia angani lakini kila kitu kipo sawa.”
Chanzo hicho ambacho kimeomba hifadhi ya jina lake kimesema: “Wajumbe wa Halmashauri Kuu tayari wameanza kuwasilia Dar es Salaam, lakini hatujajua ukumbi utakuwa wapi, kwani waandaaji wanafanya siri...bwana aise sisi wenyewe hatujui tunasubiri tu tuambiwe na ndio maana wajumbe wameambiwa waende ofisini kesho asubuhi.”
Alipoulizwa masharti wanayokwenda nayo amesema: “Hawa jamaa wana masharti mbalimbali, wanataka nafasi za juu za uongozi lakini si ya mwenyekiti, kuna wale viongozi ngazi ya kanda, mikoa hadi wilaya waendelee na nafasi zilezile, sasa hili bado tunajadili."
Leo Jumapili, Mei 18, 2025, Katibu Mkuu wa Chaumma, Mohammed Masoud alipotafutwa na Mwananchi juu ya vikao hivyo amesema maandalizi ya mikutano ya halmashauri kuu na kamati kuu inaendelea vizuri na kesho Jumatatu inafanyika.
"Ni kweli mikutano inaanza kesho lakini bado hatujapata ukumbi kuna watu tumewatuma wanaendelea na mchakato wa kutafuta 'location' baadaye tunajua ni wapi tutafanya mikutano yetu," amesema.
Alipoulizwa inakuaje mikutano inafanyika kesho lakini sehemu ya kufanyika haijulikani amesema: "Kulikuwa na mambo mengi yaliingiliana sasa kama nilivyokueleza kuna watu tumewatuma hadi kufikia muda huo tutakuwa tunajua na tutakuambia."
Pia alipoulizwa katika mikutano hiyo wanatarajia kuwapokea makada waliokihama Chadema amesema, "amekueleza nani," akakata simu.
Akizungumza kuhusu kupokea wanachama wapya waliokihama Chadema, Rungwe amesema, “bado sijajua kama kweli watatokea na tutawapokea katika mikutano hiyo lakini hiyo kesho nitakuambia usiwe na wasiwasi.
Alipoulizwa John Mrema miongoni mwa makada waliokihama Chadema kama kesho wanapokelewa kwanza alianza kujibu kwa kushangaa.
"Wewe umemsikia nani jambo hilo, kama ingekuwa kweli tunapokelewa si taarifa zingeshatangazwa ....Kusema kweli mimi sijui muulize huyohuyo aliyekueleza," amesema na kukata simu.
📌✔️CHAUMA ndio itazidi kudharaulika.
Walioahidi kutoa pesa ni kama wanasita, na wakiona nyomi za cdm kwenye mikutano ya NRNE hawaoni mwelekeo kabisa. Kibaya zaidi PC ya leo ya Bon yai itakuwa imetibua mpango karibia wote.Mkutano kesho ukumbi wanautafuta leo, dah
CHAUMA KINAENDA KUIMARIKA NA KUWA CHAMA CHA UPINZANI.NI MPANGO WA MUNGUView attachment 3338241