Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Kwa wana Jf mnao wajua wa
tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A
za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A
zao zina impact katika maisha ya kijamii
nitajua cha kufanya, kwasababu wanaweza ku inspire mtu kutokana na walipoUkishajua walipo utafanyaje?
Mwigulu Nchemba sio mmojawapo kweli, 1st class degree!?wapo wanakula mema ya nchi
wengine tupo huku Europe tunaendeleza libeneke! Jitahid mkuu
Ulipata G.P.A ya ngapi? Alafu kwani mnajiita wa beba mabox
Mie nina 3.7Nani kakwambia mbeba box wewe? we jitahid upate walau 3.8 and above utapeta tu mkuu, huku nipo kwa issue zangu na kwa muda akipenda Allah nitarudi home
Kama umesoma elimu ya juu, usingeweza kuuliza swali hili.Kwa wana Jf mnao wajua wa tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A zao zina impact katika maisha ya kijamii