MUAROBAINI ULIOKOMAA
Member
- May 4, 2013
- 91
- 25
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Utasababisha atajwe mwenyekiti
ni mwanzilishi wa the last minute evangelical assemblies churchdavid silinde ni mbunge wa jimbo gan na chama gan.... ????
Mbona Ole sendeka mlimzoza Sana kumbe mkuki Kwa nguruwe......David Silinde status yake ni Mh Mbunge, huyo anaebisha yeye ni nani?! Kikubwa sana kwenye maisha ni maono, hekima na busara na ujasiri wa kuifuatilia ndoto yako na wala sio sifa za makaratasi; na mengine ya kutengeneza, au zawadi tu yasiyo na uhusiano na weledi wa utumishi wa mtu husika kama Dr, professa majimafupi etc etc. Kuwa na amani, usijibizane na wajinga, wenye akili hawatakuelewa!
acha kudanganya kumbe na ww unaamini IQ inaendana na madesa ukute hata hujui kirefu cha IQ wwLow G.P.A=Low IQ
Low G.P.A=Low IQ
Mpaka Mbowe alete kwanza
Basi tuAmbie G.PA Mr mboweJe, ukiijua hiyo G.P.A itakuwa na manufaa yepi kwako binafsi?
Unajua hizo ni elimu za kukariri zinashida sana. Kwani hao wenye G.P.A za maana wanafanya mambo gani ya ajabu?G.P.A ya David Silinde itakusaidia nini angalia mambo yako wewe
Hawa watu wanafikiri vyeti ndo kuwini maisha, nipo first year ualimu, nimevuna gunia 60 katavi za mpunga maisha yanasonga.Rafiki Mhe. Mbowe ni mwanasiasa tajiri yeye na familia yake, mambo ya sijui vyeti havina nafasi tena, hao wamewin best!
gentlemen kwa udsm kajitahid Angekuwa vyuo vingine ni kipanga huyo okay