G Nako ajitoa Weusi

G Nako ajitoa Weusi

GNako akaungane na Lord Eyes, Ibra Da Hustler, Bou Nako na Fido wairudishe Nako2Nako.
 
acheni kuwalazimisha watu wawe wagumu bila sababu. hivi leo unaweza kufananisha maendeleo ya weusi na fid q? nendeni mkamuulize madee

Hebu fafanua hapo kaka
 
Nnje ya kumi na nane.mpeleke nje ya box
 
Mwongo mkubwa wewe, baba Samatha ni mweusi ...nimemsomea mawenge yako hapa akashangaa!
 
Hebu fafanua hapo kaka
Hawa watu wanasema Weusi wamelainika. Hawarap kigumu kama fid q. Kwani fid yuko wapi? Madee nae alijitoa kwenye huo ugumu na kuwa wa kawaida kiasi na mwisho wa siku akapata alichostahili
 
Kwenye wimbo wa XO huyo mnaesema ametoka mbona yumo
 
Acheni ukuda nyie. Jamaa bado ni Mweusi na kwenye ngoma yake ya morale kathibitisha hilo. Kuna mstari mmoja jamaa anasema "kampuni yangu NYEUSI muziki unalipa". Mstari wa pili anawataja Weusi wenzake wote.... "Lord muite Joh, Nikki timba na Maarifa (Bonta Conscious).
Swala la jamaa kutotumia mavazi ya weusi mbona hata Joh hajatumia kwenye video yake mpya ya XO aliyomshirikisha G Nako mwenyewe?
Kwa kifupi George bado ni Mweusi.
 
kisha ananibandikia soferia na kunipikia chakula cha jioni kwich kwich
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom