G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

Lema ameongea kama mwanasiasa aliyebalehe, kuna nyumbxx wanafurahia binadamu mwenzio akifariki, hapo hapo wanajiita wazelendo wa taifa hili.
Hakuna mtu anayeshangilia kifo cha binadamu mwenzie bali hakuna mtu asiyefurahia adui yake apatapo madhara. Au umesahau ule msemo wa "adui yako Muombee njaa"? Yale mazoezi wakati wa UKUTA unadhani kama CHADEMA wangeandamana kingetokea nini? Halafu yale maelekezo yaliyotolewa ya kutokuwa na urafiki na wananchi unadhani athari zake ni zipi?
 
Tukio la kuuwawa askari wa Jeshi la Polisi linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote na kila Raia wa Taifa letu , hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa amani ya Taifa letu . Hata hivyo ninamuomba Mungu awatie nguvu , ndugu , rafiki na familia zote za marehemu waliofikwa na msiba huu mbaya sana na mzito .

Polisi wameuwawa wakiwa kwenye wajibu wao wa kulinda raia na mali zao ni muhimu sasa kwa vyombo vya usalama kuwatia nguvuni na kuthibiti kwa weledi matendo kama haya yanayoendelea kushamiri kwa kasi sana , ni muhimu pia idara za ulinzi na usalama kufanya utafiti wa kina kujua ni nini haswa sababu za matukio kama haya.

Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapsawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.

Godbless Lema ( MB)
Waziri Kivuli Mambo ya Ndani.
Hayo mazoezi waliyokuwa wakituonyesha M itaani kumbe hayasaidii kitu kwa usalama wao!
 
Lema kawa soft...hiyo msg sent kwa mkulu na Bashite....ogopa MTU kichaa anaweza kufanya balaa lolote..[HASHTAG]#hakunaaliyesalama[/HASHTAG]
 
Wacha wafu wazikane.......rest in peace mwangozi, masheikh wa uamsho, wafanya biashara wa madini,

Hakuna mwenye leseni ya kuua mwenzie, hata huwe pongo.

[HASHTAG]#nchi[/HASHTAG] ipo salama#
 
Lema jembe ila polisi acha nawao wafe ili waone machungu yawale waliowauwa huwa yana kuwa vipi mwangosi nimfano halisi
Hopeless kabisa wewe! Umeona muelewa aliyeleta uzi? Kat yako na wewe nani uadhani angekuwa na hasira zaidi na polisi? Lakini yeye anaelewa uzuri wa polisi!
 
Pole ziende moja kwa moja kwa familia Za marehemu bila kupitia kwa kiongozi yoyote wa serikali.mimi Kama raia wa kawaida nimehuzunishwa Na Hili tukio Na Kwa kweli ni pengo lisilozibika katika familia zenu. Mungu awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hichi kigumu.

Lakini Nataka niwatoe hofu wafiwa japo marehemu hawatarudi lakini wahusika watakamatwa wakiwa hai au wamekufa. Kama ambavyo walipatikana wakina Roma baada ya kutekwa Na majambazi/magaidi yasiyojulika basi Na hawa majambazi/magaidi yasiyojulikana na vyombo vya ulinzi ambayo yameua Askari wetu yatapatikana kabla ya JUMAPILI.formula iliyotumika kwa kuhakikisha wakina Roma wanaachiwa Na majambazi yasiyojulikana Ndio itakayotumika kuwakamata au kuwaua hawa .
 
watu wanachanganya habari, uvamizi ni uvamizi tu.......tusichanganye habari.
 
Alaaniwe pia yule mbunge wa CCM aliyepinga hoja ya Mh. Mbowe kujadiliwa kwa kisingizio eti Tanzania ni salama.
 
Tukio la kuuwawa askari wa Jeshi la Polisi linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote na kila Raia wa Taifa letu , hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa amani ya Taifa letu . Hata hivyo ninamuomba Mungu awatie nguvu , ndugu , rafiki na familia zote za marehemu waliofikwa na msiba huu mbaya sana na mzito .

Polisi wameuwawa wakiwa kwenye wajibu wao wa kulinda raia na mali zao ni muhimu sasa kwa vyombo vya usalama kuwatia nguvuni na kuthibiti kwa weledi matendo kama haya yanayoendelea kushamiri kwa kasi sana , ni muhimu pia idara za ulinzi na usalama kufanya utafiti wa kina kujua ni nini haswa sababu za matukio kama haya.

Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapsawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.

Godbless Lema ( MB)
Waziri Kivuli Mambo ya Ndani.
BALANCED MY BROTHER BIG UP. Wafunde zaidi hao wenye mtazamo chanya kwenye kila jambo.
 
kwahiyo matukio yalotokea uingereza wiki ilo pita inaashiria uingereza sio salama. uvamizi ni uvamizi tu tusichamganye habari na kutafuta umaarufu kwa kutokua na chembe ya imani.
 
Lema umesahau juzi bungeni hoja ya Mbowe ilidharauliwa na tukahakikishiwa nchi iko salama??? Kwenye mambo ya Kitaifa hebu jaribuni kuacha ushabiki wa ki itikadi. Mwambieni Mama yetu Jennister na Dada Angela...
Sasa wewe ulitaka Lema asilaani mauaji ya polisi na kuwatia moyo wananchi kitoa ushirikiano kwa polisi. Lema hajasahau hoja ya Mbowe ilivyopingwa!
 
kwahiyo matukio yalotokea uingereza wiki ilo pita inaashiria uingereza sio salama. uvamizi ni uvamizi tu tusichamganye habari na kutafuta umaarufu kwa kutokua na chembe ya imani.
Kweli kabisa watu waache kutafuta umaarufu kwa isse ya Polisi wachache kuuwawa. Nikukumbuka kauli ya Kamanda Sirro kama ilivyokuwa kawaida watu kutekwa na kupatikana wakiwa wamepigwa pia ni kawaida sana kwa Polisi kuuwawa wakiwa kazini. Polisi wafanye uchunguzi kuwabaini watu hawa wachache wanaoua askari wetu
 
Tukio la kuuwawa askari wa Jeshi la Polisi linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote na kila Raia wa Taifa letu , hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa amani ya Taifa letu . Hata hivyo ninamuomba Mungu awatie nguvu , ndugu , rafiki na familia zote za marehemu waliofikwa na msiba huu mbaya sana na mzito .

Polisi wameuwawa wakiwa kwenye wajibu wao wa kulinda raia na mali zao ni muhimu sasa kwa vyombo vya usalama kuwatia nguvuni na kuthibiti kwa weledi matendo kama haya yanayoendelea kushamiri kwa kasi sana , ni muhimu pia idara za ulinzi na usalama kufanya utafiti wa kina kujua ni nini haswa sababu za matukio kama haya.

Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapsawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.

Godbless Lema ( MB)
Waziri Kivuli Mambo ya Ndani.

Lema, polisi wana uwezo wa kusafisha na kufanya operation endelevu za haya madudu

ila ki ukweli polisi ndio wanacheka na majambazi!! sana tu

ndio ukweli, ukitaka we laani tu, ila unalaani na jeshi lenyewe pia
 
Lema jembe ila polisi acha nawao wafe ili waone machungu yawale waliowauwa huwa yana kuwa vipi mwangosi nimfano halisi
SISI NI WAUNGWANA, TUWE KATIKA MAJONZI NA FAMILIA ZAO! rip POLICE WETU!
 
Sema polisi nao jamani, kesho hawajui kuwa Lema ni Waziri wao kivuli! R.I.P marehemu wote.
 
Tukio la kuuwawa askari wa Jeshi la Polisi linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote na kila Raia wa Taifa letu , hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa amani ya Taifa letu . Hata hivyo ninamuomba Mungu awatie nguvu , ndugu , rafiki na familia zote za marehemu waliofikwa na msiba huu mbaya sana na mzito .

Polisi wameuwawa wakiwa kwenye wajibu wao wa kulinda raia na mali zao ni muhimu sasa kwa vyombo vya usalama kuwatia nguvuni na kuthibiti kwa weledi matendo kama haya yanayoendelea kushamiri kwa kasi sana , ni muhimu pia idara za ulinzi na usalama kufanya utafiti wa kina kujua ni nini haswa sababu za matukio kama haya.

Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapsawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.

Godbless Lema ( MB)
Waziri Kivuli Mambo ya Ndani.
Lema nenda kituo cha central Iringa,kuna vijana wawili walimkuta mtu usiku kalala kando ya barabara,wakahisi amedhuriwa,wakapiga simu polisi kuwaeleza tukio la mtu huyo!Polisi walipofika wakaubeba mwili lakini pia hao vijana wakatiwa ndani!Nilipata bahati ya kuongea nao,wanajilaumu kwa kutoa taarifa polisi kwani mpaka muda huo walikuwa wanashikiliwa mahabusu kwa tuhuma za mauaji!
Ushauri:Ukimkuta mtu kalala na ukahisi anaweza akawa amekufa basi we ingia mitini tu!Ukijifanya kiherehere kutoa taarifa basi sero panakungoja!
 
Back
Top Bottom