G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

Nasisitiza sana ni muhimu watu wakajua kuwa Polisi wanapaswa kuwa na nguvu kubwa kuliko uhalifu na ni jitihada zetu wote kusaidia jambo hili liwezekane , kasoro ndani ya jeshi la polisi na utendaji wake ambao kuna wakati ni kinyume na utaratibu wa sheria na haki hazitufanyi kuunga mkono polisi kushindwa na uhalifu.
Umenena vyema sana mkuu, na ukiendelea hivi hivi kufikiri kwa usawa, kuamua kwa usawa na kutenda kwa usawa, utakuwa MTU tunayejivunia sana katika Tz yetu.
 
Suala la haki na kweli si la upinzani ni la kila mtu , usiseme fulani atafanya , anza wewe sasa kufanya , unafikiri kulikuwa na busara zaidi ya hii ? Tafadhali nifundishe
Hawezi rudi huyu m'lumumba' you have put him on his place bro [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mheshimiwa Godbless Lema afunguka kuhusu kukamatwa kwa Meya ambaye mpaka sasa yupo POLISI
​
 
Back
Top Bottom