Ww nae ni Jambazi haustahili kuendrLema jembe ila polisi acha nawao wafe ili waone machungu yawale waliowauwa huwa yana kuwa vipi mwangosi nimfano halisi
Mh Lema naungana na wewe katika kulaani vikali Hili tukio, waliouliwa walikuwa katika kutekeleza wajibu wao ambao ni kulinda raia na Mali zao.Na Kama tulivyolaani wabunge, wasanii, ma doctors na wafanyabiashara kuingiliwa au kuzuiwa kutekeleza majukumu Yao ya kila siku Ndio tunavyolaani Hili tukio, Hili tukio halijazuia tu Askari wetu kutekeleza wajibu wao , tukio Hili limewachukulia haki yao kubwa ya msingi ambayo ni kuishi
.lakini kuhusu suala la wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulinzi nadhani itakuwa haiwezekani , mh RAIS alisema anataka jeshi la polisi liogopwe sasa raia wa kawaida ataanzaje kwenda kutoa ushirikiano kwa mtu (taasisi) ambayo anatakiwa kuigopa?!
Lakini Nataka nikutoe hofu ukiwa Kama waziri wa mambo ya ndani kuwa Kama ambavyo walipatikana wakina Roma baada ya kutekwa Na majambazi/magaidi yasiyojulika basi Na hawa majambazi/magaidi yasiyojulikana na vyombo vya ulinzi ambayo yameua Askari wetu yatapatikana kabla ya JUMAPILI.formula iliyotumika kwa kuhakikisha wakina Roma wanaachiwa Na majambazi yasiyojulikana Ndio itakayotumika kuwakamata au kuwaua hawa .
Binafsi naungana na wewe kwenye kukemea hili kwa nguvu zote.Tukio la kuuwawa askari wa Jeshi la Polisi linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote na kila Raia wa Taifa letu , hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa amani ya Taifa letu . Hata hivyo ninamuomba Mungu awatie nguvu , ndugu , rafiki na familia zote za marehemu waliofikwa na msiba huu mbaya sana na mzito .
Polisi wameuwawa wakiwa kwenye wajibu wao wa kulinda raia na mali zao ni muhimu sasa kwa vyombo vya usalama kuwatia nguvuni na kuthibiti kwa weledi matendo kama haya yanayoendelea kushamiri kwa kasi sana , ni muhimu pia idara za ulinzi na usalama kufanya utafiti wa kina kujua ni nini haswa sababu za matukio kama haya.
Hatuwezi kuishi kwa amani bila ya kuwa na Jeshi la Polisi imara na ili tuwe na Jeshi la Polisi imara , tunapsawa kuwa na jamii inayotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi haswa kwenye nyakati ngumu kama hizi , hivyo ni matumaini yangu kuwa Wananchi wote hususani wa maeneo hayo yalipotokea mauaji watakuwa tiyari kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahusika wa tukio hili baya.
Godbless Lema ( MB)
Waziri Kivuli Mambo ya Ndani.
Lema umesahau juzi bungeni hoja ya Mbowe ilidharauliwa na tukahakikishiwa nchi iko salama??? Kwenye mambo ya Kitaifa hebu jaribuni kuacha ushabiki wa ki itikadi. Mwambieni Mama yetu Jennister na Dada Angela...
Umenena. Hakuna taasisi imara Na yenye kutoa habari Za uhakika Kama ya wananchi. Namaanisha hao majambazi tunaishi nao mitaani, lakini ikiwa thamani yetu itaonekana wakati wa kupiga kura basi hatutofika. Watoto wetu waliitwa vilaza lakini juzi wazazi wao tukaitwa MIZIGO. Maana ni MIZIGO pekee inayopakiwa katika Malory. Lakini dereva amesahau MIZIGO haiongei? Na ikiwa sie sio MIZIGO kwanini hakutupakia ktk basi angalau joto likizidi tufungue VIOO tupate hewa safi. Ukilalamika hali ngumu watakuita fisadi au muuza unga.Wengi wanaweza wasikuelewe, ila mimi nimekupata vilivyo....
Yes, "....kabla ya Jumapili nawahakikishia hayo majambawazi yatakuwa Osterbay Police Station.....", Daud Albert Bashite said
Na, "nataka jeshi la polisi na polisi wenyewe waogopwe na kila mtu..... ", In Magufuli's voice
Nashangaa sana imekuwaje hawa askari wetu hawajaogopwa sawasawa na agizo la "Mtukufu sana" lakini badala yake wamekuwa ambushed na mtu mmoja tu na kushambuliwa na kuuwawa kama........???
Anyway, By any means, any how.... tukio hili ni lazima lilaaniwe na kila mmoja wetu na hawa viongozi wetu wa kisiasa na serikali wakati mwingine wawe na akiba ya maneno, watumie vyema midomo yao na wajiepushe kutumia midomo yao kuzungumza hovyohovyo à. k. a kuropoka.......!!
Ikilazimu kuzungumza, basi at least lazima wajue wanazungumza nini, kwa namna gani na wakati gani, else wakumbuke kwamba...... ulimi ulikiponza kichwa !!!
Hizo unazozungumza hapa ni siasa tu....Lema mwenyewe anawachora tu.Mh Lema naungana na wewe katika kulaani vikali Hili tukio, waliouliwa walikuwa katika kutekeleza wajibu wao ambao ni kulinda raia na Mali zao.Na Kama tulivyolaani wabunge, wasanii, ma doctors na wafanyabiashara kuingiliwa au kuzuiwa kutekeleza majukumu Yao ya kila siku Ndio tunavyolaani Hili tukio, Hili tukio halijazuia tu Askari wetu kutekeleza wajibu wao , tukio Hili limewachukulia haki yao kubwa ya msingi ambayo ni kuishi
.lakini kuhusu suala la wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulinzi nadhani itakuwa haiwezekani , mh RAIS alisema anataka jeshi la polisi liogopwe sasa raia wa kawaida ataanzaje kwenda kutoa ushirikiano kwa mtu (taasisi) ambayo anatakiwa kuigopa?!
Lakini Nataka nikutoe hofu ukiwa Kama waziri wa mambo ya ndani kuwa Kama ambavyo walipatikana wakina Roma baada ya kutekwa Na majambazi/magaidi yasiyojulika basi Na hawa majambazi/magaidi yasiyojulikana na vyombo vya ulinzi ambayo yameua Askari wetu yatapatikana kabla ya JUMAPILI.formula iliyotumika kwa kuhakikisha wakina Roma wanaachiwa Na majambazi yasiyojulikana Ndio itakayotumika kuwakamata au kuwaua hawa .
Kama wewe unavyofurahiaga wapinzani wakikamatwa, wakiteswa, wakitupwa rumande, na kufunguliwa kesi za ajabuajabu na mwishoe kufungwaLema ameongea kama mwanasiasa aliyebalehe, kuna nyumbxx wanafurahia binadamu mwenzio akifariki, hapo hapo wanajiita wazelendo wa taifa hili.
Unajua Maana ya neno siasa. ?Hizo unazozungumza hapa ni siasa tu....Lema mwenyewe anawachora tu.
Hivi mwigulu leo kanywa chai kashiba nawaza tu atakua bado yupo dodoma bungeni? Mkimuona mwambieni namsalimia[emoji135][emoji135]