Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Ha ha pro chadema njoon mmnadi kamanda lowasa
Itabidi tuwatumie wakina Ritz na Genge lao kumndi EL mana walikuwa wanamtetea sana alipokuwa CCM nadhan tunaweza endelea kuwatumia hao hao kumnadi akiwa CDM, Naamini kazi waliyopewa waliifanya kwa ufanisi mkubwa. Labda cha msingi na wao pia tuwakaribishe CDM ili waendeleze kushawish watu juu ya uzuri wa EL.
 
Hebu tuwe wakweli japo kiduchu, hivi CCM ina umakini gani??
Najua unaandika huku una sononeko kubwa moyoni... Pole sana.
Magamba hamna chenu tena, muda si mrefu mtawekwa kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA.
 
Kama kweli CCM kilinaangalia maslahi ya wengi, EL ndie waltakiwa wampitishe maana yeye ndie aliekuwa anaungwa mkono na wana CCM wengi zaidi na watanzania wengi zaidi ambao hawana vyama.
 
[JFMP3][/JFMP3]Wakati naweka akiba ya maneno lakini pia nawaza kwa sauti je na huko asipoupata huo uraisi itakuwaje???????
 
Wewe ni ccm kaa kimya. Mwache lowasa achanje mbuga katika safari yake ya matumaini
 
Hebu tuwe wakweli japo kiduchu, hivi CCM ina umakini gani??
Najua unaandika huku una sononeko kubwa moyoni... Pole sana.
Magamba hamna chenu tena, muda si mrefu mtawekwa kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA.

umakini wa ccm ni kuhakikisha wanaiba sana rasilimali zetu
 
Lowasa anaitafuta heshima kwa gharama kubwa atapata aibu kwa bei nafuu.
 


Mkuu kama nakuelewa vizuri unataka kusema JK ndio mastermind ya Ukawa kuchukua nchi. Kama nakuelewaelewa vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…