Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Unamuhurumia kinana Tu vip kuhusu NAPE, huyu ndiye wa kumuhurumia zaidi
kinana mwenyewe yuko team lowasa...sema lini ulishawahi kumsikia kinana akimkoromea au hata kumkosoa rais lowasa wakati akiwa ccm?....
Pia jk mwenyewe alitambulishwa kama kampen manager wa el huko pwani na hajawahi kukanusha...
Hongera jk kwa mpango mkakati wa kuingoa ccm madarakani na kuwarudishia wananchi tanganyika yetu.
Jamani twende mbele turudi nyumba...ccm ni chama kongwe bila mpasuko wa ndani ni ndoto kukitoa madarakani.....mie ni tomaso kwakweli mpaka takapoona mamvi kachukua kadi upinzani ndo taamini mfumo fisadi unaenda anguka.....
Team lumumba njooni tujenge nchi ndani ya mfumo mpya....tubadilishe katiba ya wananchi kulingana na maaoni ya jaji Warioba....
Siasa jamani, Zito alipohamia ACT mengi yalizungumzwa. lowasa kahamia chadema mengi yanasemwa. Uhalisia upo, tusubiri tutashuhudia wenyewe.
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
Hata golini pasiwe na kipa, hawataliona lango.
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
1. Kwani kazi ya wapinzani ni kuleta maendeleo? Sasa chama tawala na serikali yake wao watafanya nini?
2. Wanacdm ndiyo wamemwalika lowasa, wewe mbona unaumia wakati wewe ccm? Au jana hukuona votes za jf?
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
we call it democracy. Basicaly,ni haki ya msingi kabisa mtu kujiunga na chama chochote cha siasa. Sidhani kama mwenyekiti wa chama anaelekezwa na katiba ya chama kuwa uamuzi wa kupokea wanachama/mwanachama unahitaji ridhaa ya wanachama (party approval).
Weka akiba kidogo ya Maneno. Siasa ni kama Mpira. Usije ukakanusha maneno yako!
hadi mshirika wake mkuu humu jf ndugu MUSSA ALLAN kahamia chadema
Nimehamiaje Mkuu?
Ha ha pro chadema njoon mmnadi kamanda lowasa