Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Acheni kujifariji. CCM ni Taasisi kubwa. Labda hao wakubwa wagawanyike kutokana na tukio la EL kuhama. Sanasana kuna watu watakuwa njia panda wakati wa uchaguzi, hususan wale wapenzi wake ambao pia wanaipenda CCM na wasingependa kuhama.
 
Jamani twende mbele turudi nyumba...ccm ni chama kongwe bila mpasuko wa ndani ni ndoto kukitoa madarakani.....mie ni tomaso kwakweli mpaka takapoona mamvi kachukua kadi upinzani ndo taamini mfumo fisadi unaenda anguka.....

Team lumumba njooni tujenge nchi ndani ya mfumo mpya....tubadilishe katiba ya wananchi kulingana na maaoni ya jaji Warioba....
 
Kila kitu kinawezekana, anaweza hamia ukawa na asifuatwe, akaja peke yake. Cha muhimu atuambie ajenda yake ni nini!! Na wale rafiki zake watakuwa na nafasi gani katika maamuzi na utendaji kazi wake...!!
 
maneno kuntu kabisa haya
 
Acheni kujifariji. CCM ni Taasisi kubwa. Labda hao wakubwa wagawanyike kutokana na tukio la EL kuhama. Sanasana kuna watu watakuwa njia panda wakati wa uchaguzi, hususan wale wapenzi wake ambao pia wanaipenda CCM na wasingependa kuhama.
Huenda ulikuwa na facts, hebu pangilia vizuri
 
Updates za lumumba sizioni hapa kulikoni ? Mkianza gawana fito please let me know
 
Siasa ya tz, naifananisha na mpira wa miguu tz, yaani kila jambo linafanya kwa maneno porojo
 
Natamani kuiona CCM inayoparaganyika ikiwa mikononi mwa Prof. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
 
Kuondoka Lowassa na watu wake kunaweza kuleta level playing ground kwenye uwanja wa siasa. Ni nzuri kwa nchi yetu
 
Suala sio wanachama wa vyama vya siasa, hiyo ni idadi ndogo sana ya Watanzania watakaopiga kura October, UKAWA waandae rasilimali za kutosha kufikia kila kijiji Tanzania kuwaeleza kwa ufasaha nini wanataka kuwafanyia na nini CCM wameshindwa bila kumshambulia mtu utatokea mtikisiko ambao hamtaamini. Hapa watu wanachanganyikiwa Lowassa mwenyewe hajaongea,akiongea Magufuli atapotea kabisa. Upepo wake hata ivyo umepungua kwa Magufuli simsikii.
 
Aisee! Kwahyo chadema ni ya Edwin mtei na Freeman mbowe?
Chadema ikulu mtaenda kwa mialiko lakn sio kiutawala
 
Back
Top Bottom