Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Ccm haijawahi kusema el ni msafi refer op magamba. Mkuu labda nikuulize na wewe sasa na huyo mwenyekiti wako leo ndio mnaona lowassa sio fisadi?

Lowasa angekuwa fisadi ni kwanini kwa muda wa miaka8 baada ya kujiuzuru kutoka nafasi ya pm hadi mwaka huu ccm walishindwa kumshitaki?hiyo inaonyesha kuwa lowasa ni msafi kabisa
 
Tumaini la CCM lililosalia sasa ni moja tu,"Goli la mkono!"
 
kikwete yupo Australia anatafutia watoto wake business partiners anajali nini yule mtu bwana

Hivi mmeshasahau kampuni lao lililochota mapesa ya Escrow kule benki ya stanbic limesajiliwa Australia? Sijui lile kampuni linaitwa PP nini sijui!!
 
Hivi Lowassa ni nani hasa eti kutoka kwake kuitikise CCM? Mafisadi wenzake wafanyabiashara wamebaki midomo wazi hii Nchi UKAWA kukamata dola kutegemea mtaji wa mafisadi mmebugi step. Mkwe wake Sioi Sumari mume wa Pamela Lowassa Yupo Arumeru busy ana kampeni aingie bungeni kwa tiketi ya CCM. Bashe Yuko Nzega busy CCM anausaka ubunge. Sophia Simba bado Mwenyekiti wa UWT aende CDM ili akawe nani ? BAVICHA halima atampisha? Nasema hivi main objective ya mwanasiasa ni kushika madaraka na kukamata dola. Hakuna Mwanasiasa Mjinga atakayetoka CCM bila uhakika wa kukamata madaraka. CCM wajanja walisogeza mchakato ili kuubabanisha na mchakato wauchaguzi wa NEC ili kuwadhibiti wanasiasa uchwara. Atanunua wale wa buku 15 wanachama wachache waliopoteza mvuto, wanaotoka KASKAZINI kwa kuwa ni mkabila. Wengine kina Sioi, Sofia, Bhashe wamebaki wakibwagwa kwenye mchakato ndio watakimbia kama mamvi lakini wakipita wanabaki kushika madaraka. Mamvi umekwisha kisiasa we peleka ubabe na mambo yako ya kulazimisha kwa nguvu ya pesa wachaga watakumaliza .
 
Hivi mmeshasahau kampuni lao lililochota mapesa ya Escrow kule benki ya stanbic limesajiliwa Australia? Sijui lile kampuni linaitwa PP nini sijui!!

Ngoja tumuulize lizaboni lazima ataijua hiyo kampuni
 
Ccm haijawahi kusema el ni msafi refer op magamba. Mkuu labda nikuulize na wewe sasa na huyo mwenyekiti wako leo ndio mnaona lowassa sio fisadi?

Kukanusha ndio falsafa ya ccm
 
Kazi ya chama cha siasa wakati wa uchaguzi ni kupiga propaganda ya kushawishi wananchi wawapigie kura ili washike dola. Ushawishi ni wa nini watakifanya kwa faida ya Nchi kupitia ilani ya uchaguzi ya miaka 5. Mwaka huu ukawa itatumia muda wake kushawishi Wananchi kumkubali Lowasa na kuwa ni msafi. Watatumia Jik, majivu, steel wool, mchanga etc ili asafishike. Wenzao wanashukuru gume gume limejivua gamba lenyewe. Hicho ndicho walichokitaka. Mbowe alisema Lowasa ni dhaifu hakukosea. Akisakamwa ataachia ngazi ya kugombea urais Siku 3 kabla ya uchaguzi na kudai wanamsakama sababu ya ugombea urais. Urais sio rahisi hamjiulizi kwanini Huyu mtu hatakiwi tangu 1995?
 

mkuu ndio kusema hata wewe umeridhia ukawa kuchukua nchi
 

Hata wakati lowasa yuko CCM haikuwai kushinda kihalali wenyewe wanajua
 
uchu wa madaraka ndo umempeleka huko chadema. Chadema ni chama makini hawawez kumfuata bali kajipeleka na sio kwa wamachama wote bali amemtumia mbowe ambaye ni rahisi kununulika

kwahiyo unakili EL ameinunua CDM
 
kwahiyo unakili EL ameinunua CDM

Hilo lipo wazi. Na uamuz wa Lowasa kuruhusiwa chadema haujapangwa na wanachadema wengi ila ni maamuz ya Mbowe. Mimj kama mwanachadema nakubaliana nasera ya kulichukua dola ila sio kwa candidate kama Lowasa. Mbowe ametuuza
 
ccm mus be very carefull especially when throwing stones to ENL otherwise it will be very tough on them in OCTOBER
 
Hilo lipo wazi. Na uamuz wa Lowasa kuruhusiwa chadema haujapangwa na wanachadema wengi ila ni maamuz ya Mbowe. Mimj kama mwanachadema nakubaliana nasera ya kulichukua dola ila sio kwa candidate kama Lowasa. Mbowe ametuuza

WEKKI wewe ni ccm unajulikana kitambo,hebu toka apa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…