Future wives...!!! Poleni waoaji

Future wives...!!! Poleni waoaji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414852565719.jpg
 
yaan mkuu cjaingia humu tangu asbh....nimeingia tu nakutana na hiii...daaaah.......nimecheka kweli yan
 
picha zako sometime mshana sizo. Kama ya yule punga na hii. Labda kuna zingine but husomeki. Unasifia ama unaponda. Unafundisha nini? Rudi kwenye mstari ama utachezea makonzi siku si nyingi kutoka kwa mimi dada yako.
 
Nimepokea ushauri kwa mikono miwili Karucee picha ya mipunga ilinisababishia ban sithubutu tena na hizi pia nitaacha labda itokee tu
 
Last edited by a moderator:

kama ulilambwa ban safi sana. Kumbe mods wako alert.
 
Yeah am not perfect, na ajali si kitu cha kupanga! Misinterpretation kwenye lolote ndio inayoleta positive or negative results...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom