bmpingo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 343
- 197
Just thinking aloud. What is the fate of our students in Ukraine? Shule zinaanza (or planned to) 1st September. Kwa habari nilizo nazo maisha yamekuwa kama ya mbuzi: mbele kamba nyuma bakora. Nina maana ukikimbia vita, unakutana na ma-racist na nchi isiyo na sheria. Nini cha kufanya sasa?