Futari ya Bond Street London

Futari ya Bond Street London

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Ma Sha Allah

Waislam na wasio Waislam, Waafrika, Wazungu, Wahindi, Waafrika wakijumuika kama umma mmoja na kufuturu pamoja 23 Jun 2015...

11667349_909674402425973_2644434380920104089_n.jpg

For those who don't know, 'Iftar' means 'the meal eaten by Muslims to break their fast after sunset during Ramadan'. Pictured here is what went down on some streets in London yesterday. Another picture after the cut.
unnamed.jpg

Source: Welcome to Linda Ikeji's Blog: Photos: Iftar on the streets of London yesterday...
 
sasa Tanzania inafanyika lini jamani?..kma vipi tuifunge bagamoyo rd.
 
Nakumbuka nilipokuwa kijana mdogo kule kwetu tulikuwa na waislamu wachache lakini wakarimu sana,enzi hizo hizo watu walikuwa wanafuturu hadharani ukifika muda wa kufuturu ,jamvi lilitandikwa nje na yoyote aliyekuwa anapita maeneo ya makazi hayo hata asie muislamu alikaribishwa bila kuulizwa hata dini yake,maadamu ni mwanadamu unapita basi ilikuwa ni karibu,tena karibu ya moyoni na si ya kiswahili,enzi zile kulikuwa hakuna mambo ya ''kuuza futari''barabarani au mahotelini ,wakati huo ilikuwa ni thawabu kubwa kumkaribisha mpita njia kufuturu kwenye mkeka barazani nje,siku hizi mambo yamebadilika futari ni sebuleni na kwa wanaojuana tu.
 
Watawasingizia CHADEMA!!
 
[QUsOTE=RRONDO;13231450]Futari kwa kaf.ir aliehalalisha ushoga! Kweli baniani mbaya kiatu chair dawa![/QUOTE]
Slaa mlibelari kafuturisha ukawa jana
 
Bongo ni kuchafu...
Mtaugua minyoo, safura na kipindu pindu na kuibiwa na vibaka..
Msijaribu kuiga hii
 
Back
Top Bottom