Fuso Mayai Inauzwa

Sawa wewe mwenye magari na mafuso nunua hilo la huyo shost wako honest, mimi fukara nimekosa nisamhehe

Si biashara zangu za magari, tangaza nyumba, kiwanja au shamba uone.

Darsa limekuingia. Na kama huna uwezo usiponde biashara za watu, huo ni uhasidi.
 
Hiyo takataka tu anauza bei kubwa sisi tuonaojua biashara za magari tunamueleza ukweli, usidhani kila anayeandika hapa ni mfuata mkumbo hatujuani. Huna darasa lolote
 
Baba'ko analo?
 
Acha uwongo floow na shoo ya mbele kwa 200000,acha uwongo Bati bei gani,ufundi bei gani shoo hata kama ya plastick hupati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo Fuso engine yake ni 6D16,6D17,6M6O au 6M61?
Chasis ikoje?
gari ni jiko na mbavu tu, vingine vinatengenezeka.
 
Nimedanganya nini? Kasome upya nilichokiandika.

Huwa sipendi kusema uongo na si vizuri kusema ni muongo wakati post yangu hujaisoma vizuri. Umeona 200,000 hujaona "laki tatu na nusu" ni za nini hapo juu kwenye post number 7?

Kasome tena kisha uombe msamaha kwa kunipa sifa mbaya.
 
Mkuu hiyo Fuso engine yake ni 6D16,6D17,6M6O au 6M61?
Chasis ikoje?
gari ni jiko na mbavu tu, vingine vinatengenezeka.

Mimi sio mzoefu sana wa magari. Nimepiga picha card ya gari nahisi itasaidia kujibu maswali yako.

Gari ni nzuri inawaka na hata leo walikuja watu kuikagua wameiwasha.

Hiyo takataka tu anauza bei kubwa sisi tuonaojua biashara za magari tunamueleza ukweli, usidhani kila anayeandika hapa ni mfuata mkumbo hatujuani. Huna darasa lolote
Ndugu yangu kimfaacho mtu ni chake. Leo kuniambia mali yangu ni takataka naona si uungwana.

Ingekuwa ni taka taka mimi nisingethubutu kuiuza.
 
Nini maana ya baadhoi ya magari kuitwa mayai? ni mapya, ni fragile kama mayai? yana umbo la yai , au ni nini?
 
Over my dead body
 
Nini maana ya baadhoi ya magari kuitwa mayai? ni mapya, ni fragile kama mayai? yana umbo la yai , au ni nini?
Ninavyofahamu mimi ni shepu yake inakuwa haina engo. Inakuwa na mzunguko fulani kama ya lisivyo na engo.

Naweza kusahihishwa kama sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…