Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
!
!
Hakuna hata picha?
Nimeweka picha.Mi nimekuja kuiona hiyo Fuso ya Mayai tu. Lakini hamna picha.
sent by Samson Cyper
tengeneza kwanza utauza bei nzuri. hizi ni gari za kazi. utitiri wa hitilafu ulizoainisha unamtia shaka mteja na huenda akapata tashwishwi kuna mwingine umeachwa hasa injini na chassis.
tengeneza kwanza utauza bei nzuri. hizi ni gari za kazi. utitiri wa hitilafu ulizoainisha unamtia shaka mteja na huenda akapata tashwishwi kuna mwingine umeachwa hasa injini na chassis.
Hizo million 30 inatengenezwa nini?Yaan mil 40 alafu na utitiri wa hitilafu karibu mil 30 ununue fuso namba B kwa mil 70 utakuwa ni mental
Gari half kick.Uza screpa, Hakuna gari hapo kunatetenasi tu.
Wacheni porojo Mbowe aliwauzia chadema kwa million 600 kama hilo.Hilo gari halina thamani ya Mil. 40
Mwenye kujuwa magari hawezi kuandika utumbo huo.Uza screpa, Hakuna gari hapo kunatetenasi tu.
Swali zuri sana, kaingia mitini.Hizo million 30 inatengenezwa nini?
Hapana Faiza usiweke siasa hapa, acha siasa kwenye biashara. Hujengi bali unaharibu biashara yake maana watu watahamia kwenye siasa.Wacheni porojo Mbowe aliwauzia chadema kwa million 600 kama hilo.
Bi Zainab Tamim, hawa waswma hivyo wasikusumbuwe utakuta hawana hata baiskeli.
Wewe huna pesa, huna Gari wala hujawahi kuwa na gari.Yaan mil 40 alafu na utitiri wa hitilafu karibu mil 30 ununue fuso namba B kwa mil 70 utakuwa ni mental
Nisingeweka siasa ungejitokeza na kusema ukweli? Mbona ulikaa kimya na ilhali umeshakwenda mpaka kwa Bi Zainab?Hapana Faiza usiweke siasa hapa, acha siasa kwenye biashara. Hujengi bali unaharibu biashara yake maana watu watahamia kwenye siasa.
Binafsi nimefika hadi gari ilipo kwa Mzee Abdul na gari iko vizuri kwa anayejua magari maana hio sio gari tu bali ni Mtaji wa Kibiashara. Kwa sasa Dar kuikodisha kwa kazi moja tu, sio chini ya 200,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna pesa, huna Gari wala hujawahi kuwa na gari.
Hilo ni Fuso gari la biashara. Gari la biashara kufa kwake ni Kipata ajali tu.
Mradi kishasema engine safi, gear safi, hayo mengine matatizo madogo kama show ya mbele, mgao za za bodies namsifu sana Bi Zainab kawa very honest hataki kudanganya na kayaweka wazi.
Watanzania mmezowea kudanganyana. Huyo Bi Zainab hachezi na mizani. Nimependa sana alivyo honest kwenye biashara yake na kuelezea vitatizo vidogo vyote. Kama ni mnunuzi wa kweli ungelielewa hilo na ungefurahia badala ya kuponda.