Fursa za Mji wa Kigoma

Kwa kuoa simshauri wanawake wa kiha hawana upendo
Labda muha wako ndio hana upendo.

Katika sehemu sahihi ya kuoa ni kigoma, mabint wa kigoma
wanaupendo,
wavumilivu (shida na raha, maradhi na uzima, tabu na mateso),
wachapa kazi ( Anaweza kuendesha familia kwa kutimiza basic needs na bado anamuheshimu mume wake)
 
Pale kuna kabila ya wamanyema, wabwali, wagoma hao sio waha ni wasumbufu sana hawana ushirikiano na wenzao
 
Muha pekee anayejielewa na anaweza kuishi na popote, mchapa kazi, na mwenye upendo japo kiasi na hana majivuno ni MUHA wa eneo linaitwa kasulu
 
Pole Sana Mkuu
Ulikutana Na Fitna Za Hatari Sana, Soko Huria Wao Wanaona Kama Lao!! Wakijaa Kariakoo Itakuwaje
Elimu Siyo Darasani Hata Kutembea Umejionea Mengi Sana

Kuna Member Katoa Angalizo Kuwa Hawana Upendo

Huo ndio ukweli hata wao kwa wao hawapendani kabisa na kwa wanavofanya kazi wangekua wanapendana na kupeana michongo wangetisha sana.
 
Muha pekee anayejielewa na anaweza kuishi na popote, mchapa kazi, na mwenye upendo japo kiasi na hana majivuno ni MUHA wa eneo linaitwa kasulu
Sio kweli mkuu, anza tafiti zako upyaa,
 
Huo ndio ukweli hata wao kwa wao hawapendani kabisa na kwa wanavofanya kazi wangekua wanapendana na kupeana michongo wangetisha sana.
Wewe ni mtu wa ajabu mkuu!
Eti hawapendani hata wao kwa wao.

Ni kabila gani ambalo wanapendana wao kwa wao?
Hata hilo kabila utakalosema wanapendana sana, atakuja mwingine atasema hawapendani.
Kwahiyo haya mambo hayana formula maalumu.
Kinacho kutokea wewe, siyo lazima kimtokee na mwingine.
 
Huyo jamaa ni mtu wa ajabu
 
Swadakta mkuu
 
Jamaa acha swaga, wewe kama yalikutokea hayo, ni wewe mwenyewe.
Huenda wewe mwenyewe ulikuwa na matatizo yako.

Halafu unasema eti "ukifika kibirizi kuulizia michongo hawatakuambia"
Kana kwamba uliwaulizia watu wote wa kibirizi.
 
Mtama Ulaheze?

Migebuka inapatikana sana mitaa ipi ninahitaji connection ya dagaa na Migebuka ntafurahi nikipata muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…