Fursa za kibiashara Kakola

Fursa za kibiashara Kakola

Ile kasi ya mwanzo haipo tena , idadi ya makota wanaonunua dhahabu imepungua sana, ila idadi ya watu wanaokuja kakola inazidi kuongezeka
daah vipi kule namba mbili mkuu maduara yapo active kweli...maana niliwaacha wachache sana....upande huu wa karibu na gate la buly..
 
Bro ntaipata wapi hili detector kwa apa bongo
 
Ndugu kwa maoni yangu kama umeamua kwenda kakola ni sawa ila usiingie kabisa kwenye buashara ya kununua dhahabu, ila ungeweza kwa huo mtaji wako nunua gold detector alafu tafuta vijana wenyeji kodisha itakulipa sana unaweza kuwa kwenye mgao wa 50 elfu per day na zaidi
Ntaipata wapi hili machine (gold detector) kwa apa Bongo
 
Sijui chochote over!!!?
Sawa, next time you better shut up your mouth. Hasa unapo kuta mijadala iliyo kuzidi kimo...
tapatalk_jpeg_1568211858235.jpeg
 
Back
Top Bottom