Habari zenu wana MMU.?
Nakuja mbele yenu kuleta ombi toka kwa rafiki zangu 10 toka Russia,ambao watakuja mwanzoni mwa mwaka ujao 2014 kwa ziara ya mwezi mmoja nchini Tanzania/Zanzibar.
Wameniomba nikiwa kama Organizer wa safari yao pia ni mwenyeji wao hapa Tz,kuwa niwatafutie warembo 10(MABINTI) wenye sifa zifuatazo:
-Wawe wanajua kuongea/kusoma kiingereza ikiwezekana na Kirusi (Russia)
-Elimu yeyote Std 7 hadi PhD
-Wawe na umri kuanzia miaka 18-28
-Wawe hawajawahi kuzaa
-Wawe wenye rangi asili (wasiotumia mkorogo)
-Wawe wenye maumbile asili sio Mchina
-Wawe wanaopenda kusafiri sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi
-Wawe na imani yeyote ya dini
LENGO:
Kuanzisha uhusiano na ikiwezekana kuwa mke na mme in future.
SIFA ZA HAO RUSSIANS:
-Wote wana umri kati ya miaka 25-38
-Wote wanafanya kazi binafsi na kuajiriwa
-Wote hawaamini kama kuna Mungu
-Wote wanakunywa pombe tena kali Spirits
-Wote wanapenda kusafiri "adventures trip"
-Wote hawajaoa ila wana girl friends
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:
- Uwe tayari kupima HIV/AIDS mara baada ya kuonana na hao jamaa
-Tuma CV yako kwangu namaanisha ni PM
-Mwisho wa kutuma maombi ni 25/12/2013
KUMBUKA NAFASI NI KUMI TU,NA USITUME MAOMBI IKIWA HUNA SIFA TAJWA HAPO JUU,AU HAUPO SERIOUS.
Naomba kuwakilisha hoja..!