mabinti angalieni sana msije kuponzwa na tamaa ya pesa..fikiri kabla hujatenda......mtaishia kuwa watumwa wa ngono wa hao warusi,hao wana agenda ya siri..kwanza wanakuja kufanya nini hapa tanzania?waulizeni watu waliowahi kuwa huko Urusi...biasha haramu ya binadamu iko juuu sana siku hizi...