Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Ahaaaa.......kumbe umeshachungulia fursa halafu huniiti eeeh.......sasa kwa taarifa yako mradi wa vitunguu mayai nakutoa........we endelea kupaka oriflame.........
Ha ha ha usinitoe bana unajua vitunguu mayai naona ni bidhaa inayokuja kwa kasi sana sokoni tutapiga hela hadi najionea wivu, sijakuita kwasababu najua we unapaka forever living