Fursa ya kutengeneza had 1 mil kwa mwezi

MUSSA GUETTA

Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
38
Reaction score
2
ORiflame ni kampuni ya Sweden ambayo inasambaza
cosmetics, perfume za kike na kiume .ni networking
business ambayo kujiunga kwake ni sh elf9 tu na
kuchukua mzigo kwa laki moja tu.
Unachotakiwa ni kutengeneza point 100 kwa product
unazochukua na ambazo utazifikia kwa chini ya laki
moja. Na kumconvince mwenzio ajiunge baada ya
kuona ubora wa products, ukimuunga mwenzio
unapata comission yako ambayo itakuwa calculated
according to the points made,
Jamani wahi mapema ili ujitengenezee big networking,
inalipa mnooo
Kuna perfume,Lipstick, steaming,cream sio zile za
kichina Na zinaondoa machunusi yote.
Kwa maelezo zaidi nicheki kwa 0766950578 WATSAPP nitakujuza
zaidi,
Branch ipo pale posta so unaoda na kuchukua product
zako, kwa walioko mikoani unatumiwa in nxt day free
of charge! Mpoo? Its a best opportunity to make
money
 
.juzi kwenye basis kaingia Dada nasikia ...habari za SAA hizi abria ,wakubwa shikamooni...tirarira nyiingii baadae katoa dawa ya kuondoka vipele sijui chunusi usoni...nilichoka alivyokuwa anaitangaza Kwa mbwembwe wakati yeye usoni ana vipele kama fenesi...
 
Wewe binausi umefanikiwa kwa kiwango gani??

Halaf mnawarubuni sana wanafunzi msimu wa Boom huu mnazikombeleza hela zao zote, watoto wa watu wanatafuta wateja kwa tabu hadi mabox ya bidhaa yanawachakalia mikononi...
Mnadhambi sana nyie
 
😂😂😂😂😂😂 noma hiyoo
 
Pyramid scams. Only those on top of the pyramid benefit wengine wote inakula kwao. Aaaaargh!
 
Wewe binausi umefanikiwa kwa kiwango gani??

Halaf mnawarubuni sana wanafunzi msimu wa Boom huu mnazikombeleza hela zao zote, watoto wa watu wanatafuta wateja kwa tabu hadi mabox ya bidhaa yanawachakalia mikononi...
Mnadhambi sana nyie

kampuni haishauri kununua bidhaa ukakaa nazo ndani kama duka, jiunge, tafuta wateja ukipata ndio unafanya order yako na kuuza
 
.juzi kwenye basis kaingia Dada nasikia ...habari za SAA hizi abria ,wakubwa shikamooni...tirarira nyiingii baadae katoa dawa ya kuondoka vipele sijui chunusi usoni...nilichoka alivyokuwa anaitangaza Kwa mbwembwe wakati yeye usoni ana vipele kama fenesi...

VIPELE KAMA FENESI!!,Duh mwanangu wewe ni noma sana.
 
Unaweza kutengeneza mil lakini si yako unatengenezea wenzio asanteni
 
kampuni haishauri kununua bidhaa ukakaa nazo ndani kama duka, jiunge, tafuta wateja ukipata ndio unafanya order yako na kuuza

Kwahiyo mnawashikia watu hela zao hadi watakapopata wateja???
Teh teh teh teeeeh.....
 
oriflame ni wehu. nilijiunga nao nikajuta. bidhaa ya bei ya chini ni elfu 45, halafu unaambiwa ukachukue order then mteja akupe hela ukamletee bidhaa. sasa mteja unakuta hakujui, halafu ukupe hela ukamletee bidhaa, isitoshe bidhaa ni ghali sana, halafu oriflame ni matapelitapeli fulani
 
Acha uongo mkuu, kuna sabuni za kuogea sh 5000, 6500, dawa za meno 11,000 lipbam 10,000/= na hiyo ni mifano michache tu. wala sio lazima uchukue hela ya mteja, kama upo serious na biashara na una uhakika na mteja wako kua atanunua why usitumie pesa zako kufanya oda zen ukifikisha kw mteja ndo akulipe? usipotoshe watu
 
Bidhaa za oriflame ni nzuri kwakweli, kwa nilizozitumia nimezipenda, nitajiunga ili niwe nanunua kwa matumizi yangu kwa bei nzuri.....hayo mambo ya kuconvince watu wajiunge ni ngumu sana
 
Kwahiyo mnawashikia watu hela zao hadi watakapopata wateja???
Teh teh teh teeeeh.....

hakuna anaeshika hela za mtu, unajiunga kwa tsh 9000/= kutafuta wateja na kuuza ni juu yako mwenyewe hakuna anaehusika hapo ni wewe tu na wateja wako, pia sio lazima uuze unaweza kujiunga ukawa unanunua kwa bei nafuu kwa matumizi binafsi
 
Bidhaa za oriflame ni nzuri kwakweli, kwa nilizozitumia nimezipenda, nitajiunga ili niwe nanunua kwa matumizi yangu kwa bei nzuri.....hayo mambo ya kuconvince watu wajiunge ni ngumu sana

karibu
 
Ahaaaa.......kumbe umeshachungulia fursa halafu huniiti eeeh.......sasa kwa taarifa yako mradi wa vitunguu mayai nakutoa........we endelea kupaka oriflame.........
 
Back
Top Bottom