ccMane umesema kuhusu hii biashara ya uwakala wa maji na Soda hii inafanywaje Mane tafadhali na B kama unazo alafu vip kuhusu hii ya miamala ya pesa alafu kwani Mane wewe uko sehemu gani wangu mimi nimehamasika na hustle zako na natka nijilipue uko wangu pls naomba kama unayo maelezo basi emu tupe mbilu tatu z kuanza nazo ila salute Mane wewe ni noma nawapenda watu kama nyinyi ni watu wenye spirit ya mapambano haswa[emoji16][emoji16][emoji16]haya...na trauza naona karibu kila siki usk unaona mtu ananunua anavaa hapo hapo anasepa..zile kadeti
Mane nimetokea kukukubali ile mbaya na una mishe za hatari mno je kwa unavyoona mfano hii busness ya uwakala wa maji na Soda naweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap pls mama!!Haaha upo kama mm....!nna rafiki yang anacheza mchezo wa 5m kila mwezi.means daily ni laki 1 na elfu 66 hv!
unajua aliponiambia nikasema hv mm nafny nn duniani jaman[emoji23][emoji23]...na cirlce yake imetulia..inajielewa balaa...yaan narudia 5m wako 12...!ana hustle za kufa mtu...!usitegemee biashara moja tu kuvusha ! mie nalala hoi lakini nafurah mno mno kila.mtu asbh anareport kwangu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Uyu dada ni noma mkuu yaani Ana sprit ya ajabu kwenye utafutaji aisee ni mfano na inabidi apongezwe!!Napenda Hustling Mind kama hizi .. Tafuta hela kwa kila namna as longer as huvunji sheria za nchi ... Tupige kazi wajameni.
Aisee imagine kila siku mtu anatoa laki ya mchezo manake ni kwamba anakuwa kabakisha ela nyingine kwa ajili ya mahitaji yake na bado pia anabakiza na mtaji asee kweli umaskini tunautaka wenyewe dawa ni kupambana nao kadiri inavyiwekana Mane utaniongoza kwenye hii safari sema mimi sina mtaji wa madini nitaanzia chini chini uko kwenye kuuza mavinywaji na miamala ya pesa!!Haaha upo kama mm....!nna rafiki yang anacheza mchezo wa 5m kila mwezi.means daily ni laki 1 na elfu 66 hv!
unajua aliponiambia nikasema hv mm nafny nn duniani jaman[emoji23][emoji23]...na cirlce yake imetulia..inajielewa balaa...yaan narudia 5m wako 12...!ana hustle za kufa mtu...!usitegemee biashara moja tu kuvusha ! mie nalala hoi lakini nafurah mno mno kila.mtu asbh anareport kwangu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hahaha nenda jukwaa la biashara na uchumi kuna mawazo mengi utashindwa wewe, biashara sio kwa kila mtu.Situkani,napita humu kupata mawili matatu na kupingwa au kutopata jibu nilitakalo ni kawaida tu mkuu.
Mane nimetokea kukukubali ile mbaya na una mishe za hatari mno je kwa unavyoona mfano hii busness ya uwakala wa maji na Soda naweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap pls mama!!
Huwezi kufanya biashara hiyo kama huna pesa ,namaanisha pesa sio una tani 60, unataka kupeleka mchele ng'ambo
Aisee imagine kila siku mtu anatoa laki ya mchezo manake ni kwamba anakuwa kabakisha ela nyingine kwa ajili ya mahitaji yake na bado pia anabakiza na mtaji asee kweli umaskini tunautaka wenyewe dawa ni kupambana nao kadiri inavyiwekana Mane utaniongoza kwenye hii safari sema mimi sina mtaji wa madini nitaanzia chini chini uko kwenye kuuza mavinywaji na miamala ya pesa!!
Apa nimekupata Mane ngoja nijipange asee wangu natamani sana kuchakarika haswa na kuhakikisha naishi maisha yangu ninayoyataka apa duniani nadhani nikiwa na 1.5m mimi nitaanza ivyo ivuo kwanza nitakuja kufanya feasibility study!!Sina hakika mkuu...ila huku usiache vinywaji vikali
k vant,nyagi,shimha[emoji23](kuna mjamaa anauza hizi shimha kwa siku hata 15bottles)ni zile disgn za kitoko..weka na soda za kopo zote...nadhan km 2m unaWeza anza maana hii shimha nusu carton ni 25000/!
Pesa zipo kwa watu,jitahidi kuzihamisha kutoka kwao kuja kwako,take careHahahahh.hata hawa wNaonekana wako njema.lakin kuna watu wana hela best
Huwezi kufanya biashara hiyo kama huna pesa ,namaanisha pesa sio una tani 60, unataka kupeleka mchele ng'ambo
Mkuu dec pia nina mpango wa kwenda huko kama uko serious we can arrange for a tripMie nimepanga dec niende tu Rwanda..ndo ntaenda nao hawa wakaka..sitak ya kuambiwa...!
Pesa zipo kwa watu,jitahidi kuzihamisha kutoka kwao kuja kwako,take care
Mkuu dec pia nina mpango wa kwenda huko kama uko serious we can arrange for a trip
Bibie hebu nipe huu mchongo murua kabisa, niweke pesa..kuna matsht fulan yanauzwa kkoo yanamwagwa chini...huku wasukuma wanapgwa..haha wanauziwa 13/12..nilitaka nomwambie ayakusanye aje apge hela
Utanijuza turuke ndugu yangu.Mie nimepanga dec niende tu Rwanda..ndo ntaenda nao hawa wakaka..sitak ya kuambiwa...!
Utanijuza ndugu yangu turuke woteMie nimepanga dec niende tu Rwanda..ndo ntaenda nao hawa wakaka..sitak ya kuambiwa...!
Utanijuza turuke ndugu yangu.
Bibie hebu nipe huu mchongo murua kabisa, niweke pesa..