Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.


heee...kumbe!bas hawa leseni yao ni uongo..!wabongo salute..ndo maana@Ras Jef Kapita katuponda watz kwa ujuha huu huu
 
Sio utapeli...
This business is real na iko kitambo tu.
biashara hii IPO miaka mingi tu na hata kupeleka Uganda. Shida yake ni vibali tu maana vinatolewa kwa makini mwisho sisi tens tusiagize Michele toka Rwanda na Uganda
 
Huku chunga ngozi hazina soko zamani ngozi ilifika mpka 70 elfu sasa hivi hakuna soko
 
Kuna fluctuations....
chakula kikipungua wanasitisha vibali/leseni
hata kwa ngozi za wanyama ilikuwa hivyo but sasa hv vipo na vinatolewa...
ni ufatiliaji wa taarifa sahihi kutoka kwa mamlaka husika...
Vibali vinatolewa wapi
 
Wewe mwanamke umejua hela hutaolewa.
 
Ha ha haa leo ndio unaamka!!?
ongeza sifuri hapo....
mchele unauzwa kwa waharabu...
the only place you can fetch a good price
lakini lazima uwe na export license
na mtaji wa kusafirisha tones kwenye meli
amkeni mtaelewa tu...
SI lazima meli biashara ya kueport Kenya,Uganda,Burundi ,Kongo ,Zambia Malawi mbona watu wanaenda na mizigo midogo tu Sijajua kwa Rwanda Lakini nchi zingine hizo Wala
 
Swala ni kuwa kama Biashara hizo zinalipa kwa nini Serikali haitoi auheni kwa anayeanza biashara japo kwa trip mbili za mwanzo na apewe temporary permit kabla ya leseni ili watu wawe na nguvu ya mitaji biashara na kuachana na mifumo ya uchumi wa ukoloni?
 
Si utapeli .biashara zina changamoto.kuna jamaa yangu alipata idea ya matikiti maji akaanza kulima alichokutana nacho mungu anajua.utafiti wa kutosha ni muhimu kabla hujaweka fedha zako.mpenzi
Biashara za kuelezwa kwenye semina za ujasiriamali na kwenye pombe ni tofauti Mara ingine na uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…