Yaani nasema Mungu nipe pumzi..huku wananiangaliaga tu yaan..afu waniita mchaga[emoji23][emoji23]wanasema wanawake wa kisukuma hawana mwamko kbs wa kuhustle..ila its true[emoji6].. mie nikifika kila siku niwe naweka 200k ntakamilisha kbs my long term plans..huku ukiweza tu kujitoa kbs uhakika wa kupata even 200k@ day upo...toa ishu za madini.ntakuja pm tmr..
“Lakini pia BRELA tunatoa leseni za kundi A kama zilivyoainishwa katika sheria Leseni za Biashara ya Mwaka 1972 na marekebisho yake. Leseni za kundi A ni zipi, ni zile leseni zinazotolewa kwa biashara zenye mlengo wa kitaifa, kimataifa na zenye usimamizi maalum, biashara hizi ni kama usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi, uingizaji wa bidhaa ndani ya nchi na biashara za usimamizi maalum kama za madini, benki na zingine kama hizo.Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.
Ndio Lazima iheshimiwe pia inakua dharau hakuna mwanaume anakua hanachakukwambia pesa unayo hivyo hakubabaishi kwakitu kama kafanikiwa zaidi na ww ndipo unapoelekea na utampita zaidi kwn unakua umeiva kabisaAlafu wanavyotuonaga wanawake sio kitu.. Sasa hv tunaheshimiana zaidi
Nakuja nw kakaPoa nakusikilizia PM
Sawa, utanijuza muda ukiwadia mamii.Twendw..tukiwa wengi itapendeza ujue
We nipange, ikiwezekana tuchukue balo kabisa tuje kumwaga huko.tsht fulan tu za kawaida wanamwaga sana dar...huku wanakimbiza
We nipange, ikiwezekana tuchukue balo kabisa tuje kumwaga huko.
Shida Mane nawe. Emu tufungue basi bhana maana tukiuliza unasema hii apana so tulete nini boss Mane[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio.mitumba..ukileta mitumba aibu utapata ww..mtumba wa dar haunusi pua wa huku
Shida Mane nawe. Emu tufungue basi bhana maana tukiuliza unasema hii apana so tulete nini boss Mane[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu njoo chobingo unipangilie vizuri sasa nawe nae!! Mambo robo robo hatufiki, ukiweza unitwangie na foto kabisa.Sio.mitumba..ukileta mitumba aibu utapata ww..mtumba wa dar haunusi pua wa huku
Hebu njoo chobingo unipangilie vizuri sasa nawe nae!! Mambo robo robo hatufiki, ukiweza unitwangie na foto kabisa.
Basi we fanya itakavyokuwa nipe mrejesho fresh, tuweke pesa.Photo nilishindwa ipata
Nipe hapa kwenye nguo bei yake ni hali au nipe maelezo kidogo ili niweze kutumia fursaSio.mitumba..ukileta mitumba aibu utapata ww..mtumba wa dar haunusi pua wa huku
Nipe hapa kwenye nguo bei yake ni hali au nipe maelezo kidogo ili niweze kutumia fursa
Km izo huku dar wanauza 90000tstht wanauza 10-13!kwa trauza sijajua
hizo tshr mtaa wa uhuru wanamwaga chini tuKm izo huku dar wanauza 90000View attachment 1171633
Mane emu tupange basi nduguzo bhana tunataka kuweka pesa ili tupate ata miambili mtu wangu yani fanya basi ata kutoa vimaelezo fulani ivi hasa apo kwenye uwakala wa vinywaji na hii ya mitumba mtu wangu usisahau na hii ya kununua hayo maviroba ya madini mama, ukifanya ivyo hakika Mungu ataongeza Kitu kwako bhana!! Hutaki siku moja ntuje umu JF kutoa ushuhuda dhidi yako jinsi ulivyotuinsipire na kutupa mchongo?sio hizi bwana ...hizi classic..mbn kkkoo
hizo tshr mtaa wa uhuru wanamwaga chini tu
Mane emu tupange basi nduguzo bhana tunataka kuweka pesa ili tupate ata miambili mtu wangu yani fanya basi ata kutoa vimaelezo fulani ivi hasa apo kwenye uwakala wa vinywaji na hii ya mitumba mtu wangu usisahau na hii ya kununua hayo maviroba ya madini mama, ukifanya ivyo hakika Mungu ataongeza Kitu kwako bhana!! Hutaki siku moja ntuje umu JF kutoa ushuhuda dhidi yako jinsi ulivyotuinsipire na kutupa mchongo?
Mmmh sawa Mane shida nini unajua ni kupata mbili tatu tu za uko ila si kesi mpka pia tunashukuru sana wangu ni pa kubwa apa na wala si padogo apa kilichopo ni kupiga trip na kuja ukoBest...! sijui nisemeje au ww tu nakuona una papara fulan..mie nil8toa tips..sasa ukiniuliza habari za hzi mambo zote niwe mkwel mtashindwa..!..nadhan tips nimetoa vya kutosha kbs!ila mawe usipaparike nayo weka pemben kbs!
Mmmh sawa Mane shida nini unajua ni kupata mbili tatu tu za uko ila si kesi mpka pia tunashukuru sana wangu ni pa kubwa apa na wala si padogo apa kilichopo ni kupiga trip na kuja uko