Fursa ya kununua choroko

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
Kwa wanunuzi wa choroko, kama unataka kununua, huu ndio msimu wa kununua.
Kwa wenye mitaji unakaribshwa, choroko ni nyingi sana. Bei wanunuzi wameanza na elfu moja kwa kilo.
Njoo unishirikishe tusaidizane kununua, eneo nilipo ni Wilaya ya KWIMBA mkoani Mwanza.

Karibuni nyote.
 
Bei gani kwa kilo
 
Back
Top Bottom