Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Ikiwa ruzuku ya ununuzi wa ARV itakata basi fursa yaja kwa wajasiriamali kutembea na beat na kuanza kulangua ARV za kupima
Viwili @50,000 TZSKwani kuna syrup pia?
Kama ni vidonge watapimaje?
Viwili @50,000 TZS
KimojaNa anatakiwa kumeza vingapi kwa siku?
X 59m people in Tanganyika9,150,000/= kwa mwaka.
😥😥