NSUNGWI E-LEARNING
New Member
- May 4, 2019
- 0
- 0
NSUNGWI E-LEARNING ni Taasisi ambayo inahusika na utoaji Elimu ya sekondari (Form 1-4) kwa njia ya mtandao wa Intaneti na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Multimedia Technologies).
Masomo yanatolewa kwa mfumo wa Video na Nakala laini (soft copy).
Tunatafuta washiriki wenza (business partners) kwa ajili ya kushirikiana katika utoaji wa huduma za Elimu kwa kutumia teknolojia na mtandao wa intaneti.
SIFA ZA MWOMBAJI
(i) Awe na taaluma ya ualimu wa sekondari kati ya masomo yafuatayo; Physics,Chemistry, Biology, Maths, Geography, English & History.
(ii) Awe anajua kutumia kompyuta hasa program za word & internet
(iii) Awe tayari kufanya kazi kwa kujituma
(iv) Awe ni mkazi wa mikoa ya kanda ya ziwa yaani mwanza, Geita, Mara, Kagera, Simiyu & Shinyanga.
Mawasiliano:
simu: 0752238263
Email: nsungwielearning@gmail.com