Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tricker, Nov 26, 2010.

 1. T

  Tricker Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Wadau naomba wenye data kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti wanijuze.
  The following should b included.
  1.upatikanaji wake i.e location
  2.Market yake kwa hapa Dar
  3.Profit margin ikoje
  Thanx waheshimiwa
  ==========================================

  Maswali mengine kutoka kwa wadau

   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbeya,iringa na singida ilo zao linalimwa kwa wingi
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya mwisho bei ya lita 20 pale Mtinko Singida ilikuwa Tsh 31,000/ na wakati huo huo pale Tabata Shule walikuwa wanauza bei ya jumla Tsh 38,000/ kwa lita 20. Sijui usafiri ni kiasi gani.

  Kama unajua hesabu za biashara basi kuanzia hapo unaweza kupiga mwenyewe, hiyo ilikuwa august mwaka huu.
   
 4. m

  msambaru JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mafuta ya alizeti toka singida mtinko, ilongero, iguguno na hata hapa mjini ni Ths. 60,000 kwa lita 20 sawa na 3000 @ lita. kama vipi nicheki
   
 5. f

  fred45 Member

  #5
  Mar 26, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nataka kuanza biashara ya kuuza mafuta ya alizeti hapa dar natafuta wateja nani ataitaji, lita tano (5) ni shilingi elfu kumi na saba na mia tano, bei ya mwisho ni shilingi elfu kumi na saba,(17500-17000 Tshs)
   
 6. f

  fred45 Member

  #6
  Mar 26, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atakae itaji tuwasiliane kupitia 0712 29 59 47
   
 7. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2013
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unaweza supply lita ngapi kwa mwezi bila kuishiwa kwa mwaka mzima.
   
 8. f

  fred45 Member

  #8
  Mar 28, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakuwa ndo ninaanza hii biashara ninaweza ku supply lita 250 kwa mwenzi, kwani ulikuwa unaitaji lita ngapi? na kama utojali tumia mawasiliano yangu hapo juu ili tuweze kuwasiliana kwa wakati@ mutesa
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Mar 29, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Mkuu ninahitaji lita lita Tano vipi nitapata?
   
 10. rigobert

  rigobert Senior Member

  #10
  Mar 30, 2013
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  vipi huwezi kusapply pamoja na mashudu ya alizeti?
   
 11. f

  fred45 Member

  #11
  Mar 31, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana labda kwa baadae, kwa sas ni mafuta tu,
   
 12. f

  fred45 Member

  #12
  Mar 31, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekutumia sms inbox
   
 13. Feiaidan

  Feiaidan Senior Member

  #13
  Oct 6, 2013
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 187
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wanaJF!
  Ninataka kuanza kufanya biashara ya mafuta ya alizeti, niwe nnatoa mafuta mkoani napeleka mijini, mfano Dar, sasa shida yangu ni kuwa bado sina link na wanunuzi wa hayo mafuta!
  Naomba yeyote ambaye anaweza akanipatia link au akaniunganisha na watu wanaonunua haya mafuta ili iniwezeshe kuanza hii biashara.
  Mtaji ni mdogo ila kama ntapata wanunuzi wengi ntakusanya nguvu na kuongeza mtaji kukuza biashara.

  Natanguliza shukrani.
   
 14. malamsha shao

  malamsha shao Senior Member

  #14
  Oct 6, 2013
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Weka bei ya hayo mafuta ili 2kupe link
   
 15. Feiaidan

  Feiaidan Senior Member

  #15
  Oct 6, 2013
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 187
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Katika hali halisi bei itategemea na mahali nnapopeleka mafuta, kwa maana ya kwamba kuna some slight amount inayoongezeka au kupungua kutokana mahali husika, kwa mfano Morogoro, Dar, Arusha etc...

  Mimi ntayaleta kutoka Dodoma au Singida.
  Sasa nnachoomba kufahamiana na wanunuzi au wauzaji wengine ili nijue soko lake likoje mahali walipo na bei yake, baada ya hapo nnaweza nikaanza kuwapelekea mafuta.
   
 16. k

  kassamali JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2014
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tunatafuta wasambazaji ambao wana deal na mafuta ya kupikia ambayo yako packed kwenye chupa za lita 1,2 na 5 tunaweza kutengeneza kwa brand ya mteja.Uwezo wetu wa unaanzia chupa 26 985 kwa lita moja ndani ya container la futi 40,chupa
  12 520 za lita 2 na chupa
  5 160 za lita 5.Mafuta yetu yapo kwenye standadi za umoja wa Ulaya na vigezo vyote vya usalama.Bei zetu ni rahisi kufanya biashara manake ni chini kwa asilimia 40 kwa bei ya Tanzania kama upo serious unataka kuanzisha brand yako na ukaikuza basi tuwasiliane kwa pm

  specification

  Product Type: Nut & Seed Oil Type: Sunflower Oil Processing Type: Refined

  Certification: HACCP,
  Form A or EUR1 Packaging: Plastic Bottle Purity (%): 100
  Brand Name: private
  Grade: First Place of Origin: Ukraine
  Packaging & Delivery
  Packaging Detail: PET bottles: 0.92L; 1L; 2L; 5L

  Physical and chemical indicators:


  Coloured number mg to the iodine,no more 2
  Acid number mg KOH,no more 0.14
  Peroxide value ½ 0 meq/kg, no more < 0.5
  Moisture and
  volatile matters %, no more 0.035

  Degree of transparency FEM, no more 2
  Mass stake of 3,4
  benzo(a)pyren &#956;g/kg wet weight < 1.0

  Mass stake of dioxins
  (WHO-PCDD/F-TEQ) pg/g fat < 0,25
   
 17. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2014
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Haya mafuta ya alizeti tunazalisha Tanzania kwa nini tuimport?
   
 18. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2014
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,451
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 0
  hayo mafuta yanatoka nchi gani mkuu? sample inapatikana tanzania?
   
 19. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2014
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,451
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 0
  demand ni kubwa kuliko supply!
   
 20. mtena

  mtena JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2014
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,255
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Hlo container la 40feet mnauza dola ngap?
  weka na full bei ili tuangalie itatulipaje kama wafanya bisness
   
Loading...